JNICC: Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchini

Kauli Mbiu ni Tunza Demokrasia, Imarisha Amani. Sasa anazungumza Msajili wa vyama Jaji Francis Mutungi.
anazungumza
P
 
Huu mkutano ulivyoandaliwa ulikuwa mahsusi na kile chadema walikuwa wanafanya nchi nzima, (mikutano) na ingeleta impact kubwa sana kimataifa kama CDM wangeshiriki.

Na bahati mbaya sana, juzi pasipo kutarajia jeshi la polisi likaingia kwenye mtego wa Tundu Lissu, from that point CCM na walioandaa mkutano wamepata dosari kubwa tu kwa kumtia nguvuni Makamu Mwenyekiti wa CDM.

Leo hata kama wataanza discussion za Demokrasia ila tayari kuna dosari, kimataifa hiyo ni down illusion.
 
Sasa anazungumza Waziri Jenista Mhagama. Waliopo ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar, Eng. Tena Kasim
P
 
Umeongea Jambo kubwa Sana mkuu.
 
Baba yako mzee mapesa alitoa machozi alipoikosa kura yake achiliambali ya mkewe ng'wanangikulu!
 
Naona Rais ametumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

Huwezi fanya maridhiano na mtu ambaye wakati wowote atabadilisha gia angani.

Faida ya mfumo wa vyama vingi itapatikana pale ambapo atatokea kiongozi atakaye amua kuweka maslahi mapana ya Taifa hili mbele ndipo yaje haya mengine. Kuanzishwe chama cha siasa kwa msaada wa dola ambacho kitapigania maslahi mapana ya wananchi walio wengi hasa wa hali za chini na si kupigania matumbo ya watu.

Wananchi wenyewe wafike mahali wajitambue kwamba suluhisho pekee ni kuanzia kwa kumlilia Mungu wa Mbinguni aingilie kati na asikie vilio vyao. Vilio kama vile vya Wamasai "Wamama" vikienda na kufika kwa Mungu Sahihi yaani Mungu wa Mbinguni lazima majibu yatapatikana tu. Watanzania walio wengi wanalitambua hili, aaah sina hakika!!!

Waamuzi sura ya 10

Wa
 
Update 1.
Rais Samia ameingia ukumbini, nyimbo za taifa ya Tanzania na Africa Mashariki zimepigwa.
Sasa ni sala ya Kikristu imetolewa na Askofu Alex Malasusa na sasa ni Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam akipiga dua.
P
Wanachanganya dini na siasa. Kesho wakipewa neno na viongozi wa dini wanawakemea
 
Update 1.
Wanabodi, Nimefanya Kipindi Maalum cha Kwa Maslahi ya Taifa kuhusu mkutano huu, kwa vile mkutano ulikuwa live, naomba mimi nisilete kilichojadiliwa ndani ya mkutano bali nikuletee Vox Pop za baadhi ya washiriki Muhimu wa Mkutano huu wa Msajili wa Vyama vya Siasa, Vyama vya Siasa, Kikosi Kazi na Wadau wa Demokrasia Day-1

View: https://youtu.be/VZlHxInJWfI?si=dyjhzmV32K_10HytP
 
Update 2
Wanabodi, Nimefanya Kipindi Maalum cha Kwa Maslahi ya Taifa kuhusu mkutano huu, kwa vile mkutano ulikuwa live, naomba mimi nisilete kilichojadiliwa ndani ya mkutano bali nikuletee Vox Pop za baadhi ya washiriki Muhimu wa Mkutano huu wa Msajili wa Vyama vya Siasa, Vyama vya Siasa, Kikosi Kazi na Wadau wa Demokrasia Day-2

View: https://youtu.be/f5YJTJjG9rw?si=h8xMkhQ0RfT2Nw0eP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…