Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #41
Kauli Mbiu ni Tunza Demokrasia, Imarisha Amani. Sasa anazungumza Msajili wa vyama Jaji Francis Mutungi.
anazungumza
P
anazungumza
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Mkutano ni tamasha la vyama vya siasa kina Moto wana tumbuiza!Hakuna kitu hapo
Msajili wa mchongo. Aliivunja CUF kwa mikono yake akishirikiana na Prof Lipumba.I'mKauli Mbiu ni Tunza Demokrasia, Imarisha Amani. Sasa anazungumza Msajili wa vyama Jaji Francis Mutungi.
anazungumza
P
Umeongea Jambo kubwa Sana mkuu.Huu mkutano ulivyoandalia ulikuwa mahsusi na kile chadema walikuwa wanafanya nchi nzima, (mikutano) na ingeleta impact kubwa sana kimataifa kama CDM wangeshiriki.
Na bahati mbaya sana, juzi pasipo kutarajia jeshi la polisi kikaingia kwenye mtego wa Tundu Lissu, from that point CCM na walioandaa mkutano wamepata dosari kubwa tu kwa kumtia nguvuni Makamu Mwenyekiti wa CDM.
Leo hata kama wataanza discussion za Demokrasia ila tayari kuna dosari, kimataifa hiyo ni down illusion.
Mkuu Akasanka, mimi sio msemaji wa chama chochote, kwa vile wizi ni kosa la jinai, kama kuna chama cha majizi, ya rasilimali za Tanganyika, kwanini hakijashitakiwa kikawepo mahali stahiki?.
Ni kweli kabisa niligombea kuteuliwa na chama changu kugombea ubunge Kawe,
sababu zangu kugombea niliziweka humu
View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared
kwenye kura za maoni, ni kweli nilipata kura moja. Nilikubali matokeo, nikawaomba jf msinibeze Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!
Wana JF, tujifunze kujadili mada iliyopo mezani, mada iliyopo mezani ni huu mkutano mkubwa very important na very crucial for mustakabali mwema wa siasa zetu kuelekea 2025.
P
Ok, ukiibiwa pakawa na mkutano kati ya polisi, watuhumiwa na mhusika unasusa maana ni kama kubaki wizi.Ni sawa na kubariki udhalimu🤔
Kama kuna mtuhumiwa basi sehemu yake ni mahakamani na sio kikao Tena🤔Ok, ukiibiwa pakawa na mkutano kati ya polisi, watuhumiwa na mhusika unasusa maana ni kama kubaki wizi.
Anajipeleka?Kama kuna mtuhumiwa basi sehemu yake ni mahakamani na sio kikao Tena🤔
Naona Rais ametumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA
Wanachanganya dini na siasa. Kesho wakipewa neno na viongozi wa dini wanawakemeaUpdate 1.
Rais Samia ameingia ukumbini, nyimbo za taifa ya Tanzania na Africa Mashariki zimepigwa.
Sasa ni sala ya Kikristu imetolewa na Askofu Alex Malasusa na sasa ni Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam akipiga dua.
P