Seems ni mtu smart sana kichwaniChisano km Chisano. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nishajibiwa jibu sahihi huko juu mkuu.Kubali tu ww ni mjinga au unataka akuite mpumbavu?
Ungekua unaijua ungejibu hilo swali hapo, hiyo historia unayojinasibu kuijua haitakusaidia kama hutairithisha kwa jamii yako.Du vipimbi kumbe mko wengi!
Hata historia ya kupigania uhuru kusini mwa Afrika hamjui!
Hahah duhKwakweli nilimind ila ndgu mshana kanipooza jazba baada ya kutoa jibu la sivyo ndgu yangu ningekula na ww sahani moja hadi uniambie [emoji23][emoji23]
Kweli kuna wakati nishagumiana naye mjini dsm kulikuwa na mchongo mmjaKwakweli nilimind ila ndgu mshana kanipooza jazba baada ya kutoa jibu la sivyo ndgu yangu ningekula na ww sahani moja hadi uniambie [emoji23][emoji23]
Wewe ndio mpumbavu.Ungekua unaijua ungejibu hilo swali hapo, hiyo historia unayojinasibu kuijua haitakusaidia kama hutairithisha kwa jamii yako.
Tz ina wasomi wapumbavu sana.
Kubali kwamba ww ni mtoto acha kelele!Kwa hapa wewe unaonekana mjinga kuliko mie nilieuliza swali.
Jf ina great thinkers kibao, nikategemea nitajibiwa na mmoja kati yao bahati mbaya umejibu wewe.
Moja ya faida za hii jf ni kutoana tongotongo cha ajabu kuna ujuaji usio na faida.
Kama hujui kausha si lazima kujibu au kukejeli.
Mwelevu mwenzangu kashanijibu huko juu mkuu.Kubali kwamba ww ni mtoto acha kelele!
Humjui Chisano kamuulize Mwenyekiti wako wa mtaa.!
Kwahiyo kila kitu usichojua ni lazima uende google!?Wewe ndio mpumbavu.
Google ipo kwa ajili yako lakini hutaki kuvunja ujinga wako.
kulikuwa na haja gani kuvuna hii aibu?week argument
Ukiwa mpumbavu na unaridhika nao , endelea kuwa mpumbavu kwani huo ni uchaguzi wako.Kwahiyo kila kitu usichojua ni lazima uende google!?
Elimu yako haina msaada kwako ndgu yangu.
Nimeuliza member wa jf kwasababu naamini humu kuna maarifa kibao na yanapatikana kirahisi na kueleweka kuliko huko google.
Kuna mwelevu mwenzangu kashanijibu huko juu ndgu wala usiumize kichwa.
We mzee vipi aisee.Ukiwa mpumbavu na unaridhika nao , endelea kuwa mpumbavu kwani huo ni uchaguzi wako.
Hahaha naona ligi yenu si ya kitotoWe mzee vipi aisee.
Tafuta ugali wa wanao achana na hiyo comment yangu, naona unamind kabisa mi kutokumjua huyo mtu.
Nishakwambia sijaenda google na hapahapa jf nimeambia alikua nani, sasa wewe kuja kuleta ujinga wako hapa kwani una hisa huko google.
Huyo mzee anaboa.Hahaha naona ligi yenu si ya kitoto
Myamalize bana
Ova
Yeaaaah niliwahi muona Live kule Lichinga, alikua anahutubia.Seems ni mtu smart sana kichwani
Umeniunga mkono eee👍Yeaaaah niliwahi muona Live kule Lichinga, alikua anahutubia.
Yeaaaah yuko smart huyu baba.Umeniunga mkono eee[emoji106]
Asante sanaYeaaaah yuko smart huyu baba.
Bado swali lako ni la kitotoUtoto na kutomjua Chisano kuna uhusiano gani??