Joaquim Chissano: Siwezi kuzungumza Kiswahili kama mnavyodhani

Joaquim Chissano: Siwezi kuzungumza Kiswahili kama mnavyodhani

Kipindi chake kuna baadhi ya hutuba alikuwa akicharaza kiswahili kwa mfano kipindi akimkabidhi rais wa Nigeria kiti cha AU
 
Du vipimbi kumbe mko wengi!
Hata historia ya kupigania uhuru kusini mwa Afrika hamjui!
Ungekua unaijua ungejibu hilo swali hapo, hiyo historia unayojinasibu kuijua haitakusaidia kama hutairithisha kwa jamii yako.

Tz ina wasomi wapumbavu sana.
 
Kwakweli nilimind ila ndgu mshana kanipooza jazba baada ya kutoa jibu la sivyo ndgu yangu ningekula na ww sahani moja hadi uniambie [emoji23][emoji23]
Kweli kuna wakati nishagumiana naye mjini dsm kulikuwa na mchongo mmja
Wa kutoa na kuweka sawa historia ya mahali fulani hapa dsm,ambapo alikuwa anaishi mondlane hadi mauti yakamkuta,so ni sehemu yao ya kumbukumbu zao
Ila mzee anakicharaza vzr kiswahili

Ova
 
Kwa hapa wewe unaonekana mjinga kuliko mie nilieuliza swali.

Jf ina great thinkers kibao, nikategemea nitajibiwa na mmoja kati yao bahati mbaya umejibu wewe.

Moja ya faida za hii jf ni kutoana tongotongo cha ajabu kuna ujuaji usio na faida.

Kama hujui kausha si lazima kujibu au kukejeli.
Kubali kwamba ww ni mtoto acha kelele!
Humjui Chisano kamuulize Mwenyekiti wako wa mtaa.!
 
Kubali kwamba ww ni mtoto acha kelele!
Humjui Chisano kamuulize Mwenyekiti wako wa mtaa.!
Mwelevu mwenzangu kashanijibu huko juu mkuu.
Utoto sio tusi wala siwezi kukataa mkuu.

Nilichomwambia huyo ni kua kama anajua si anasema tu kuna ulazima au faida gani kua kichwa ngumu kama wewe.
 
Wewe ndio mpumbavu.
Google ipo kwa ajili yako lakini hutaki kuvunja ujinga wako.
Kwahiyo kila kitu usichojua ni lazima uende google!?

Elimu yako haina msaada kwako ndgu yangu.
Nimeuliza member wa jf kwasababu naamini humu kuna maarifa kibao na yanapatikana kirahisi na kueleweka kuliko huko google.
Kuna mwelevu mwenzangu kashanijibu huko juu ndgu wala usiumize kichwa.
 
Ukiwa mpumbavu na unaridhika nao , endelea kuwa mpumbavu kwani huo ni uchaguzi wako.
 
Ukiwa mpumbavu na unaridhika nao , endelea kuwa mpumbavu kwani huo ni uchaguzi wako.
We mzee vipi aisee.
Tafuta ugali wa wanao achana na hiyo comment yangu, naona unamind kabisa mi kutokumjua huyo mtu.

Nishakwambia sijaenda google na hapahapa jf nimeambia alikua nani, sasa wewe kuja kuleta ujinga wako hapa kwani una hisa huko google.
 
Hahaha naona ligi yenu si ya kitoto
Myamalize bana

Ova
 
Back
Top Bottom