Joash Onyango kazeeka

Joash Onyango kazeeka

Sasa kwa taarifa yako, huyu dogo wa juu ni MZEEE compared na Onyango wetu! Yaani mnapaka paka poda na mafuta ya babycare mkijifanya watoto ndo mnadhani hatutawashtukia?! Acheni hizo

Idris.png


Onyango.png
 
Kungekuwa na chama cha kutetea wazee, nyau fc wangekiona
Bado mnaendelea kutingisha matako na ubora wa simba , kwa sasa hamna hoja mmebaki personal attacks..utopolo sio hata level ya ligi kuu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom