Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitaka akacheze kitandani kwako?
Hivi nyinyi mlivyodanganywa kwa usajili wa kina kisinda ndio mnataka kujifarijibeki bora Africa acheze league ya Tz?
Tuwekee hapa Birth certificate ya Joash Onyango tumalize ubishi, vinginevyo chukua kopo wahi maliwatoni na usirudi tena hapa wanaume tuna mambo yetuSijakataa lkn zalatan hajadanganya umri
Yani Onyango anamwita Idrisa braza?Sasa kwa taarifa yako, huyu dogo wa juu ni MZEEE compared na Onyango wetu! Yaani mnapaka paka poda na mafuta ya babycare mkijifanya watoto ndo mnadhani hatutawashtukia?! Acheni hizo
View attachment 1736316
Ulimkuta na kanga ya bi mkubwa nini?Mbona umekazania sana.Lakini haiondoi kwamba ni mzee
Mbona mi nazaidi ya 40 na siko ivo?
Yaitwa experience mkuuNi beki mzuri lakini umri umeenda
Bado mnaendelea kutingisha matako na ubora wa simba , kwa sasa hamna hoja mmebaki personal attacks..utopolo sio hata level ya ligi kuuKungekuwa na chama cha kutetea wazee, nyau fc wangekiona