mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Nilikua sijasikiliza hotuba ya ndugai sasa nimeisikiliza... hiyu mi mwamba!
Ningefurahi kama angejiuzulu tu bila kuomba samahani maana hajakosea kitu...
Ndugai akielezea mkopo
Kwa mawazo yako NdugaiYuko sahihi?.Mama anaiuza Tanganyika kwa faida ya Zanzibar
Hapa tunazungumzia Ndugai kwanini unaingizia Rais, Rais ni wetu sote.Zama zimebadilika.
Rais wa Tanzania ni Samia suluhu hassan
Mtake ndo hivyo msitake ndo hivyo.
Umelalaaa yooo
✔️✔️Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko.
Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikua amejiandaa kwamba liwalo na liwe.
Alikua ameamua kutoa yake ya moyoni.
Amezungumza ukweli, na umemweka huru.
Hapa tunazungumzia Ndugai kwanini unaingizia Rais, Rais ni wetu sote.
Jobo kachagua option nzuri sana Mama itabidi apinge vikali Jobo abakie kwenye kiti.
Madhara ya Job kutoka ni makubwa sana jifunze kutazama mbele.Samia hawezi kukaa na adui yake nyumba moja.
Wewe ungeweza?
🔫Sema Sijapenda kabisa hata kama una jiuzulu ndo uandike barua ya kujiuzulu kwa herufi zote kubwa?
Madhara ya Job kutoka ni makubwa sana jifunze kutazama mbele.
Ulishawahi kuandikiwa barua kwa herufi kubwa😂Yeye Nani katika nchi hii?
Katoka magufuli sembuse yeye?
Katoka samweli sita itakuwa yeye?
Hata Samia pia atatoka na maisha yataendelea Kama kawaida.
Ila kwa Sasa ni" FURAHA DAY"
malipo ni hapa hapa duniani akhera kuhesabiwa.
Huyo Hana uchungu wowote na hii nchi