Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Uchawa ulimzidi Kila halfa ya Jiwe ikulu yupo front table, Alijisahau sana uyo jamaaπππ wajumbe wako sahihi.... Mtu alishawahi kuwa naibu spika, akawa spika kamili.... Hajaleta maendeleo.... Sasa safari hii anataka kuwambiaje wapiga kura.....
Kwa kweli apumzike....ππ
Kwa kweli.... Alipaswa kustaafu mwenyewe kwa heshima yake....Wabunge wetu hawana aibu hata kidogo
Umenikumbusha kifimbo cheza kwa ccm mwenzake
Saana..... Acha wamcharure....ππUchawa ulimzidi Kila halfa ya Jiwe ikulu yupo front table, Alijisahau sana uyo jamaa
Kwenye hii mikutano usiamini unayoyaona. Kura ni zaidi ha hapo. Wengine hupandikizwa na wapinzanj wao ili wamwaribieJobu NDUGAI ameonja joto ya jiwe kutoka jimboni mwake huko kwao.
Naamini huu itakuwa ni mfano mzuri sana kuigwa na wapiga kura na wajumbe hapa nchini.
Sikikizeni hali ilivyokuwa mbele ya NDUGAI.
π huoni jamaa anaongelea mbali....Lile gongo la mwaka ule hakuja nalo this time?
Anaweza akapita kiubishi πNdugai unavuna ulichokipanda , ulibarikiwa kuwa na nyadhifa kubwa lakini ukasahau kuwa waliokuwezesha walikuwa hao wananchi, ukasahau shida zao na sasa umerejea tena kwao ukifikiri kuwa wamesahaua.
Tafuta shughuli nyingine ya kufanya siyo lazima uwe mbunge. Wapishe na wengine
Watakaompitisha watakuwa hawana huruma na maisha ya watu wa Kongwa, ni kama kule Bumbuli kwa MakambaAnaweza akapita kiubishi π
Ova
Nasisitiza majimbo yote wafanye hivyo, tunajua ni ccm wenyewe wataingia bungeni, so wawakate wote ambao hawana walichofanya.Alafu akipanda jukwaani anawashauri vijana wajiunge vikundi waanzishe mashamba ya kilimo
Kabisaπ huoni jamaa anaongelea mbali....
Ila ndugai alitakiwa apumzike tu kwa heshima zake,mambo ya kubishana na kuumbuliwa ni noma
Ova
Jobu NDUGAI ameonja joto ya jiwe kutoka jimboni mwake huko kwao.
Naamini huu itakuwa ni mfano mzuri sana kuigwa na wapiga kura na wajumbe hapa nchini.
Sikikizeni hali ilivyokuwa mbele ya NDUGAI.