Ajira ambayo unaumia kwa jua, mvua, upepo, baridi, vumbi.Tatizo vijana wengi wa bodaboda ni walevi wa pombe bangi ugolo nk bofaboda ni ajira nzuri sana kama ikizingatiwa kanuni na sheria za barabarani
Huyu mzee bichwa lilisha vuligika kabisa! muda wote anafikiria kire kiti chake ndiomaana hata kwa hili kakulupukaHakuna mahali alisema vijana wa bodaboda wamelaaniwa bali alisema kazi ya bodaboda ni laana,mana haina matumaini na nikazi inayoumiza vijana wengi,job aache unafiki akae kutulia mana ametengeneza taifa la hovyo.
Mimi anayehangaika na matamshi ya yule kijana alikuwa kule ugaibuni ambapo ule mchicha mkali wao unaliwa hadharani, kwakweli anapoteza mdaa.
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.
Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."
Chanzo: GlobalTV
Maisha ni mchezo wa kufa na kupona.Kama wafanya kazi mazingira magumu kwa afya yako, kazi ambayo hauna uhakika wa kurudi nyumbani, kazi ambayo huna uhakika wa matibabu na wanasiasa wako upande wako, jua kabisa wewe ni daraja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app