hamumwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 754
- 664
Nyumbu na Bado kumbe inawauma nyie mnavyotukana watu na hii issue lazima mjue nguvu yetu tuliolaaniwalema ameongea siku moja tu ila anajibiwa mwezi mzima na kila mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu na Bado kumbe inawauma nyie mnavyotukana watu na hii issue lazima mjue nguvu yetu tuliolaaniwalema ameongea siku moja tu ila anajibiwa mwezi mzima na kila mtu
Alistaafu lini na wapi?Anaigomea laana?Atapata laana.
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.
Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."
Chanzo: GlobalTV
Aione yule mwenye faili MirembeKama wafanya kazi mazingira magumu kwa afya yako, kazi ambayo hauna uhakika wa kurudi nyumbani, kazi ambayo huna uhakika wa matibabu na wanasiasa wako upande wako, jua kabisa wewe ni daraja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mwenye akili aliyefurushwa uspika kwa sababu ya akili mbovu?Jobu Ndugai mgogo halisi! Anaakili njema kuliko Lema
Lema wa kabla ya kupanda pipa kwenda ughaibuni, alikuwa mtu sahihi! Sielewi huyu aliyerudi, sijui kimerudi kimvuli Chake na Lema halisi kubaki huko Canada!! 🤗
Huyu mshenzi asiye na uti wa mgongo si wa kumfuatilia! Ni jinamizi fulani hv! anyway tayari anatumikia adhabu yake dduduguy asiye na vidole vya miguu!Hakuna mahali alisema vijana wa bodaboda wamelaaniwa bali alisema kazi ya bodaboda ni laana,mana haina matumaini na nikazi inayoumiza vijana wengi,job aache unafiki akae kutulia mana ametengeneza taifa la hovyo.
hili li-used sabufa aache kupindisha maneno kwa masilahi yake, Lema alisema kazi ya boda ni kazi ya laana,siyo kwamba vijana wa boda wamelaaniwa
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.
Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."
Chanzo: GlobalTV
kwani agenda yenu ni kumjibu lema tu? kwanini hao waliolaaniwa wao walimpotezeaNyumbu na Bado kumbe inawauma nyie mnavyotukana watu na hii issue lazima mjue nguvu yetu tuliolaaniwa
Hakuna mtu atabishana nawewe unayejing'ang'aniza laana kaa na laana zako mbali aseeNyumbu na Bado kumbe inawauma nyie mnavyotukana watu na hii issue lazima mjue nguvu yetu tuliolaaniwa
Wenzetu hawa kuwa masikini kwao ni sifa. Zamani walikuwa wanapenda kuomba omba kila mahali. Ukiwa na utamaduni wa umasikini huwezi kumwelewa lema. Ndugai kawa tajiri kwa kupewa mafao lakini bado ana akili ya masikini
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.
Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."
Chanzo: GlobalTV
Mzee wa..Atake asitake........Tutakuongezeaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣 kwisha hbr yake!!!
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.
Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."
Chanzo: GlobalTV
Jobo imechelewa sana ka ukelee wajukuu!

Tatizo vijana wengi wa bodaboda ni walevi wa pombe bangi ugolo nk bofaboda ni ajira nzuri sana kama ikizingatiwa kanuni na sheria za barabaraniKama wafanya kazi mazingira magumu kwa afya yako, kazi ambayo hauna uhakika wa kurudi nyumbani, kazi ambayo huna uhakika wa matibabu na wanasiasa wako upande wako, jua kabisa wewe ni daraja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Najaribu kufikiri kwamba, vijana wote wa Bodaboda wangeamua kuacha kazi zao, alafu waingie mtaani wakawa vibaka, Mh.Lema mwenyewe angekwenda police kuomba ulinzi.Bodaboda sio laana lakini ni kazi ya kipuuzi, haina future yoyote
Yeye mtoto wake anaendesha bodaboda? Tuanzie hapo kwanza.
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.
Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."
Chanzo: GlobalTV
You are right Ndu is hopeless.Acheni unafki huyo ni spika aliyefurushwa na sio mstaafu... bodaboda hawajalaaniwa ila waliofukuzwa kwenyevyeo ndiyo!
Sasa hivi anafungua vimigahawa navimamalishe huko vijijini? Amakweli roho mbaya hainaga uchoyo hukulipa ustahilicho...
Hata umaskini ni laana walakini maskini sio kwamba wamelaaniwa tatizo bongo akili ndogo zinakalia viti vikubwa kisa mdomo na kujipendekeza
Huyu kafilisika. Mwacheni tu apumzike