Job Ndugai: Anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye

Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.

Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."

Chanzo: GlobalTV

Huyu apuuzwe tu ni kichaa, alikiri mwenyewe ana faili Mirembe
 
Tukiacha unafiki, Siasa nchi haiwezi furahia kuwa ina wananchi wanafanya kazi ila hao wananchi wanakesha juani, wanapigwa vumbi, wanapigwa baridi, upepo, wanavunjika miguu, wanakufa hovyo kwa maumivu.

Hakuna boda boda aliyeifanya hii kazi kwa miaka 20 hivyo kwa sasa hatuna majibu sahihi ila ni kazi ya hatari

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.

Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."

Chanzo: GlobalTV
Hii ndiyo tafsiri kuwa tumepata kuwahi kuwa na Spika mpumbavu kama taifa.
Kuliko kukurupuka na kujibishana ujinga alipaswa kutafakari ajibu nini.

Lema hakuna hata mahali popote amepata kusema BODABODA WAMELAANIWA. Alichokisema Lema na ambacho ni ukweli ni kuwa kazi ya bodaboda imelaaniwa haifai maana haina future nzuri.

Asitake kudanganya kuwa anaiheshimu kazi ya bodaboda ni muongo kabisa.
Hivi binti yake akija kumtambulisha mchumba wake na kusema kazi yake ni bodaboda atampokea kwa furaha na kumtangaza kwa ndugu zake na marafiki kuwa mkwe wake ni bodaboda?

Aache unafiki kabisa na kudanganya watu
 
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.

Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."

Chanzo: GlobalTV
Ni kweli kabisa
 
BODABODA wote huu hapa ujumbe wenu, muwakatae hadharani wanasiasa ai a hii ya kina Ndugai
Kama wafanya kazi mazingira magumu kwa afya yako, kazi ambayo hauna uhakika wa kurudi nyumbani, kazi ambayo huna uhakika wa matibabu na wanasiasa wako upande wako, jua kabisa wewe ni daraja

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
viumbe-waliolaaniwa
 
Nilifurahi sana huyu Jamaa alipondolewa kwenye nafasi yake, Chezea kitu ingine yoyote lakini sio Ndugai,utanifanya nini?? Haya sasa atwambie walimfanya nini mpaka akajiondoa kwenye Utukufu wake.
 
Ndugai naamini ni kichaa.....hivi kasoma ripoti ya MOI juu ya kupokea kwa majeruhi wa ajali kwa mwezi? Bodaboda wanakufa sana na wanapata ulemavu mno. Sasa yeye aje na suluhisho na sio kushambulia hoja na mtoa hoja. BODABODA SIO AJIRA. Ndugai rudisha pesa za Lissu.
 
BODABODA wote huu hapa ujumbe wenu, muwakatae hadharani wanasiasa ai a hii ya kina Ndugai
Nilitegemea wao ndio wawe wa kwanza kupinga wanasiasa kuwatumia kujinufaisha, ila wao ndo wamekuwa mstari wa mbele kujipendekeza kwa wanasiasa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ila siasa za Tz, yaan ndugai toka kuongoza wabunge mjengoni, hadi kufungua mgahawa, uwiiiiiih

Dunia iko kasi sanaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alisema tutauzwa huyu kwa mnada tulipe madeni , na imebaki kidogo tu
 
Hata mimi naungana na Lema, kazi ya Bodaboda sio ya staha (descent). Ni vile tu kijana anamaliza chuo hana mishe ya kufanya anaingia kwenye shughuli ya Bodaboda. Halafu mbona hatuwaoni watoto wa vigogo wakifanya shughuli za Bodaboda, walau hata mtoto wa DC.
Kazi nyingi tu hao watoto wavigogo hawafanyi hata umachinga, uuguzi , ulinzi mbona mumekomaa na Bodaboda?
 
Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma Owenya Morogoro.

Amesema "Kijana anza kufanya biashara halali, kazi ni kazi, achaneni na yule anayesema watu wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye, yule anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa, sasa ule si wenzawazimu tu."

Chanzo: GlobalTV
Ndugai ni mstaafu?....
 
Yeye pia amelaanika kwa kulitumia Bunge kufanikisha mambo yake binafsi.
 
Hataki vijana watoke kwenye chungu.
Safi sana Lema kuwakumbusha vijana na watawala wajibu wao.
 
Back
Top Bottom