Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wameshamrekodi video ya pilau amekua mpole akifunua mdomo tu wanaiachia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanaongelea masuala ya maana wewe unaleta upuuzi hapa ati LissuKashapoteza nuru kweli lissu alikuwa mpango wa Mungu.
Kosa lake ni kusema ukweli.Rais Samia kamfanyia mbaya sana huyu mzee wa mnada.pamoja na kumuomba msamaha lakini akamkanyagia.
Sasa hivi ni mpango wa nani?Kashapoteza nuru kweli lissu alikuwa mpango wa Mungu
Hawa wajinga wanadhani Lisu ni issue tena! Lisu anamatatizo ya afya ya akli kila siku kuropoka!Watu wanaongelea masuala ya maana wewe unaleta upuuzi hapa ati Lissu
Hana furaha. Anaonekana kama ametoka kuliaAliyekuwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania Job Yustino Ndugai akishiriki uzunduzi wa chanjo ya mifungo jimboni kongwa
Hongera kwake kwa kutulia
USSR View attachment 2184385
Nguvu za kufanya Tena hayo zimefungwa governorTujitahidi kuishi na wengine vizuri.
Kwa jinsi anavyo onekana anaweza kumchapa tena mtu bakora?
Pamoja na kumtwisha masasi yote Yale akili Ina charge,vipi ingekuwa akili ugali kama mwenzetu na sie,usingekuwa unazingumzia afya ya akili,ila ingekuwa unatembelea jalala Moja baada ya jingine🤭Hawa wajinga wanadhani Lisu ni issue tena! Lisu anamatatizo ya afya ya akli kila siku kuropoka!
Afukuzwe ubunge kwa kutohudhuria makusudi.Aliyekuwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania Job Yustino Ndugai akishiriki uzunduzi wa chanjo ya mifungo jimboni kongwa
Hongera kwake kwa kutulia
USSR View attachment 2184385
Endelea kumwabudu Lisu! He is stupid forever! Ndo maana huwa anajiona yuko sawa kama alivyo mlevi Jenerali Ulimwengu! Watu wapumbavu wasio na shukrani!Pamoja na kumtwisha masasi yote Yale akili Ina charge,vipi ingekuwa akili ugali kama mwenzetu na sie,usingekuwa unazingumzia afya ya akili,ila ingekuwa unatembelea jalala Moja baada ya jingine🤭
Na we bambikaji na mwovu daima🤔Endelea kumwabudu Lisu! He is stupid forever!
Nakwambia muovu huwa hana shukrani kama alivyo shetani! Huyo Lisu wako ni kukosoa tu miaka yote tokea Nyerere mpaka sasa Samia!Na we bambikaji na mwovu daima🤔
Amejipa kazi ya kurekebisha vichwa ngumu,ikiwa ni pamoja na wewe🤔Nakwambia muovu huwa hana shukrani kama alivyo shetani! Huyo Lisu wako ni kukosoa tu miaka yote tokea Nyerere mpaka sasa Samia!
Post yangu inakuhusu vp? Tafuta mwanaume mwingine wa kukutmba.Watu wanaongelea masuala ya maana wewe unaleta upuuzi hapa ati Lissu
Spika ana taarifa? Jobo haonekani Bungeni wala Jimboni,huyu si ni mtoro? Kanuni za Bunge zinasemaje?Aliyekuwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania Job Yustino Ndugai akishiriki uzunduzi wa chanjo ya mifungo jimboni kongwa
Hongera kwake kwa kutulia
USSR View attachment 2184385
Alichinjiwa baharini..[emoji23]Ni kama lile la Kigamboni beloved son aliambiwa baba yako amesema ukawe muwakilishi wa wale kule ng'ambo, kijana alivyovuka maji tu kikaeleweka