Job Ndugai huyu hapa, yuko bize jimboni kusaidia wapiga kura

Job Ndugai huyu hapa, yuko bize jimboni kusaidia wapiga kura

-Speaker Aliyejiuzuru,alitumia maneno ya uchochezi na kuudhi tena hadharani, kukosoa Serikali inayoongozwa na Chama chake cha Mapinduzi.
-Maneno yenye kutaka kuleta taharuki kwa wananchi.
-Chama chake kilipaswa kunchukulia hatua za kinidhamu au kumpa karipio,iwe fundisho kwa viongozi wengine.
 
Noma sana hii naona unahasira na spika tu

USSR
 
Job alienda kasi sana, tunapopewa madaraka tusivimbe sana vichwa, tuishi na kutenda haki...Dunia ni ndogo sana hii na inazunguka kasi sana kwenye mhimili...

Unapopata nafasi ya utumishi kutumikia walio wengi ni baraka pia kwako kutoka kwa Mungu, tupia hiyo baraka vizuri kumfurahisha Mungu muumba..
 
Sasa ndio atafanya kazi za ubunge kwa mawanda mapana.....

Inapotokea shari kwa mtu binafsi huwenda ikawa heri kwa walioko nyuma yake....

MADARAKA HUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU

#Siempre JMT🙏
Everything is happening for a reason !!!
 
Tukio la kupangwa hilo baada ya kuuliziwa bungeni. Katolewa kaonekana kisha karudishwa kizuizini..[emoji23]
Watz ni wapumbavu sana aisee!

Si ni nyie mlikuwa mnasema yuko India anaumwa hoi?

Tunahangaika na vitu vidogo sana!

Uchumi uko hoi, bei za vitu iko juu ila ona tunachohangaika nacho?
 
Baada ya kukaa mafichoni muda mrefu,hatimae mbunge wa Kongwa mheshimiwa Job Yustus Ndungai amejitokeza hadharani.

Screenshot_20220412-113905_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom