Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa mbishi Sana. Utadhani cells za mwili wake ni armouredHuenda hakuwa vizuri kiafya
Kapelekwa chini ya ulunzi mkaliBaada ya kukaa mafichoni muda mrefu,hatimae mbunge wa Kongwa mheshimiwa Job Yustus Ndungai amejitokeza hadharani.
View attachment 2184841
Wote hawakushinda hata kura za wizi[emoji23][emoji23][emoji23]Ashukuru kelele za mitandao ya jamii zimeongeza pressure kumtoa huko mafichoni . Aungane na wakina Babu Tale kwenye viti vya wabunge wa kawaida sasa.
Tunahamu ya kusikia michango yake hapo mjengoni 🤔Baada ya kukaa mafichoni muda mrefu,hatimae mbunge wa Kongwa mheshimiwa Job Yustus Ndungai amejitokeza hadharani.
View attachment 2184841
Ndugai Hana mchango zaidi ya michango aliyonayo tumboni.Tunahamu ya kusikia michango yake hapo mjengoni 🤔
Tunaaswa tuwaheshimu wazee tusiee kama kale kakijana🤔Ndugai Hana mchango zaidi ya michango aliyonayo tumboni.
Dhulma Tupu CcmWote hawakushinda hata kura za wizi[emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁😁Ndugai Hana mchango zaidi ya michango aliyonayo tumboni.
Kwani alikuwa under house arrestAshukuru kelele za mitandao ya jamii zimeongeza pressure kumtoa huko mafichoni . Aungane na wakina Babu Tale kwenye viti vya wabunge wa kawaida sasa.
Kwani imekuwaje tenaKapelekwa chini ya ulunzi mkali
Uzee ukifika imefika,tuombe tujaaliwe kuuona uzee.Huyo anazeeka vibaya
ANAKUMBUKA SHUKA KUMEKUCHA mbona haonekani mjengoniAliyekuwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania Job Yustino Ndugai akishiriki uzunduzi wa chanjo ya mifungo jimboni kongwa
Hongera kwake kwa kutulia
USSR View attachment 2184385