Chikuvi2021
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 491
- 551
Noma sana hii naona unahasira na spika tu-Speaker Aliyejiuzuru,alitumia maneno ya uchochezi na kuudhi tena hadharani, kukosoa Serikali inayoongozwa na Chama chake cha Mapinduzi.
-Maneno yenye kutaka kuleta taharuki kwa wananchi.
-Chama chake kilipaswa kunchukulia hatua za kinidhamu au kumpa karipio,iwe fundisho kwa viongozi wengine.
Mawazo kama ya Lissu ya kipuuziPost yangu inakuhusu vp? Tafuta mwanaume mwingine wa kukutmba.
Everything is happening for a reason !!!Sasa ndio atafanya kazi za ubunge kwa mawanda mapana.....
Inapotokea shari kwa mtu binafsi huwenda ikawa heri kwa walioko nyuma yake....
MADARAKA HUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU
#Siempre JMT🙏
Hiyo photo sister umejuaje kama kapoa?Kapoa utadhani sio yeye
Kashapoteza nuru kweli lissu alikuwa mpango wa Mungu.
😍Everything is happening for a reason !!!
HahahahaaaaAlichinjiwa baharini..[emoji23]
Movie ya Makonda ndio inyaoendelea sasa hivi.CCM ina movi nyingi zingine bado hazijatoka hivyo msitukalilishe.
Watz ni wapumbavu sana aisee!Tukio la kupangwa hilo baada ya kuuliziwa bungeni. Katolewa kaonekana kisha karudishwa kizuizini..[emoji23]
Hicho kicheko hakitoki moyoni.Mwambie asijichekeshe chekeshe ovyo ovyo
... naona kama anachekeshwa naye kaitikia wito.Mwambie asijichekeshe chekeshe ovyo ovyo
Sura yake tu inaonyesha huzuni/hofu.Hicho kicheko hakitoki moyoni.
anaendeshwa kwa remote. Sasa hivi anaambiwa cheka na yeye anakenyua meno, wakimwambia lia anamwaga chozi.Mwambie asijichekeshe chekeshe ovyo ovyo