Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Kuliko walojichukuliaMmechelewesha sana huo uamuzi Ndugai fanyeni haraka. Kama kuna mzigo kwenye akaunti yake nao uchukueni kabisa kufidia, hawezekani tunalipa kodi halafu mnawapa watu kirahisi tu
Uamuzi huu utakuwa ni moja ya kosa kubwa sana na Lissu ataendelea kupata support kubwa sana!
Hawa watu Mungu kawanyima akili na maarifa.
Hakuna cha daraja wala nini. Mshahara wa Lisu usitishwe mara moja.Jengeni basi daraja lingine la Mfugale mlibatize jina la flyover.
Shetani upo kazini. Ushindwe kwa jina la YESU. Kilangila.Risala imehifadhiwa..unajua lissu hana muda mrefu wa kuishi ee..taarifa za kitaalam kutoka ubelgiji zinasema hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatakufa bila hizo change zenu.Hakuna cha daraja wala nini. Mshahara wa Lisu usitishwe mara moja.
Basi shetani akaja akamwuliza Yesu, ikiwa wewe ndio mwana wa Mungu, badili haya mawe yawe mkate. Yesu akamjibu akisema, Mtu hataishi kwa mkate tu bali bali kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Inanifikirisha sana maeneo makuu mawili
a. Badili mawe yawe mkate = Sema uongo/ miujiza hewa
b. Mtu ataishi kwa mkate tu = mshahara
Mbona husemi hao wanyonge anaowapigia Lissu ni nani?spika na serikali wapanga figisu zingine kumkwamisha kijuku watume ndugu Tundu Lisu kwa kumyima haki yake mshahara.
Wananchi wote wapenda amani na wazalendo waaza harakati za kumchangia kilawezi 1000 ili ndugu Lisu aendele na matibabu na harakati za kuwapambania wanyonge mchango huo uta anza rasmi atakapo futiwa tu mshahara wake.
Tuta pambana kwa hali yoyote mpaka tufike
Nae anadhurura ughaibuni?Nimrod Mkono yupo wapi? Mmemsimamishia malipo nae?
Hahaha hivi unaamini kabisa Lissu kwa jinsi anavyopendwa na Watanzania anaweza kupata tabu ya hela?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unachanganya madesaWatanzania hawa hawa waliomwacha mange kweny mataa au watz wapi hao
Sent using Jamii Forums mobile app