Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Mmechelewesha sana huo uamuzi Ndugai fanyeni haraka. Kama kuna mzigo kwenye akaunti yake nao uchukueni kabisa kufidia, hawezekani tunalipa kodi halafu mnawapa watu kirahisi tu
Kuliko walojichukulia
1. Mahela ya kujenga Chato Inteenational Airport.
2. Tshs 1.5 trill.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa alichofanyiwa yule balozi, watakuwa wameitana kwenye kikao cha dharula MAGU NA SABUFA watakuwa wamekubaliana hivyo wasitishe salary, wanazidi kujianika hawa wauaji.
 
Ubaya sio kila mtu humu anaamini story unazoamini wew..
Basi shetani akaja akamwuliza Yesu, ikiwa wewe ndio mwana wa Mungu, badili haya mawe yawe mkate. Yesu akamjibu akisema, Mtu hataishi kwa mkate tu bali bali kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.

Inanifikirisha sana maeneo makuu mawili
a. Badili mawe yawe mkate = Sema uongo/ miujiza hewa
b. Mtu ataishi kwa mkate tu = mshahara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
spika na serikali wapanga figisu zingine kumkwamisha kijuku watume ndugu Tundu Lisu kwa kumyima haki yake mshahara.
Wananchi wote wapenda amani na wazalendo waaza harakati za kumchangia kilawezi 1000 ili ndugu Lisu aendele na matibabu na harakati za kuwapambania wanyonge mchango huo uta anza rasmi atakapo futiwa tu mshahara wake.
Tuta pambana kwa hali yoyote mpaka tufike
Mbona husemi hao wanyonge anaowapigia Lissu ni nani?

Mbona huelezi anawapigania hao WANYONGE kwa vipi,lipi na wapi?

Mbona husemi kuhusu jinsi anavyowakilisha wale WaTz wa jimboni kwake waliompa na ambao hawakumpa kura akapata kujulikana hivyo?

NI ZAIDI YA KUPONGEZA KAMA AKILI ITAKAA VIZURI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Nimemsikia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea ushauri kuhusu uwezekano wa kuondoa malipo kwa Mbunge, Tundu Lissu. Ninachofahamu, katika ajira zozote, ikiwemo ubunge, zipo sheria zinazoongoza ajira husika. Endapo taratibu za ajira yake zitafuatwa kama inavyotakiwa, na kisha akapoteza malipo yake yote, nini kitatokea? Wanasheria mtusaidie.

Nelson,
Dodoma
 
Back
Top Bottom