Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Vyote hivyo anavyo, upungufu upo kichwaniInaumiza sana Ndugai amesahau utu ni bora kuliko madaraka ,hivi hata yule msukuma anadamu kweli na nyama mpaka anaongea vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlaumu shetani aliyechelewa kukustua mshirika wake, ili upeleke huo uchawi wako. Ila tatizo la shetani atakujakudai kafara ya umpendae sana kwa ya kueneza ubaya/chuki kwa wanadamu wenzio. Sijui utamlilia nani?Mmechelewesha sana huo uamuzi Ndugai fanyeni haraka. Kama kuna mzigo kwenye akaunti yake nao uchukueni kabisa kufidia, hawezekani tunalipa kodi halafu mnawapa watu kirahisi tu
Ok mkuu nimekuelewa sana, ila kwa hili la Lissu watu hawatokuwa na ajizi sababu wengine watatoa kwa jicho la huruma kwakeCjachanganua mkuu...nmeongelea unafki wa watz, wazuri kweny kuhamasishana ila kweny vitendo ni mtafutano
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha bavicha wagonjwa wengi sana ;Wewe mpaka mauaji ya Itigi unasupport kwahiyo nakuonea huruma maana najua una stroke ya ubongo
lissu alishatoa malalamiko anafwatiliwa mlichukua jukumu gani? Bashte alikua anafanya nini dodoma sikuzile?Waliompiga Lisu anawajua dereva ambae amefichwa na mwenyekiti wa chama kwa hofu ya kuwataja
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo daktari wake mpaka useme amepona?
Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Jibu kwanza nilichokuuliza halafu ndio ulize swaliWewe ndo daktari wake mpaka useme amepona?
Oooh Kumbe iile siku anatoroka Walikuwa viongoz wa Chadema tu enhee??Lissu ni mtoro ila Ndugai anachukulia poa tu. Alitoroka kuanzia siku viongozi wa cdm walivyomtoroshea Kenya hadi Ubeligiji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisikia majuto ni mjukuu ndo kama hiiLissu kwasasa hana cha kupoteza, Mshahara kwake si kitu....
Yeye Ndugai kama Spika anapaswa kujua hali ya Lissu bila hata Lissu kumtaarifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wananchi wa jimbo lake walikuletea barua ya malalamiko au ni wewe kujia mjuaji sana? wewe unamsemea nani? umekosa kazi yakufanya cyo?stupid!Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..
Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Hii kitu imewachanganya sana Lumumba.... I can imagine, siku akitokea CNN.Leo umeongea point...
Kwa kuwa shambulio hilo mnataka lionekane ni la kisiasa na Lissu analitumia kuzunguka nchi za madmgharibi kujijenga kisiasa, hivyo hivyo matokeo ya uchunguzi yatawazika wengu kisiasa, ikiwa ni pamoja na Lissu mwenyewe.Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Ndugai muogope mwenyezi MUNGU anayekupa pumzi ya bure kabisa.
Wabunge wa ccm waliopo bungeni wanafanya kazi ganiNi kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..
Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.