Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Mmechelewesha sana huo uamuzi Ndugai fanyeni haraka. Kama kuna mzigo kwenye akaunti yake nao uchukueni kabisa kufidia, hawezekani tunalipa kodi halafu mnawapa watu kirahisi tu
Mlaumu shetani aliyechelewa kukustua mshirika wake, ili upeleke huo uchawi wako. Ila tatizo la shetani atakujakudai kafara ya umpendae sana kwa ya kueneza ubaya/chuki kwa wanadamu wenzio. Sijui utamlilia nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mpaka mauaji ya Itigi unasupport kwahiyo nakuonea huruma maana najua una stroke ya ubongo
Haha bavicha wagonjwa wengi sana ;

Tafuta comments zangu za Itigi uziweke hapa;

Nilicomment Mara moja tu;

Huwa sikurupuki mkuu; nafanya utafiti wa kutosha kabla sijaandika chochote na nikiandika nakuwa nimejiridhisha.
 
Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi

Ipo ya Kivitendo-SMG na Risasi 38...............
 
Uwezo huo Ndugai na Jiwe mnaupata wapi hizo pesa sio zenu ni za watanzania .
 
Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Wananchi wa jimbo lake walikuletea barua ya malalamiko au ni wewe kujia mjuaji sana? wewe unamsemea nani? umekosa kazi yakufanya cyo?stupid!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?

-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?

-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?

Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya

=====================

Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.

#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Kwa kuwa shambulio hilo mnataka lionekane ni la kisiasa na Lissu analitumia kuzunguka nchi za madmgharibi kujijenga kisiasa, hivyo hivyo matokeo ya uchunguzi yatawazika wengu kisiasa, ikiwa ni pamoja na Lissu mwenyewe.

SIASA ZA MAJITAKA zitaisha muda si mrefu na wengi watabaki midomo wazi.

Mwenye masikio haambiwi sikia wala mwenye macho haambiwi tazama. Yetu masikio na macho, nyie wenye midomo endeleeni kubwabwaja na kuvuvuzela kila kona ya nchi, mitandaoni, vyombo vya habari na nje ya mipaka ya nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai muogope mwenyezi MUNGU anayekupa pumzi ya bure kabisa.

Hivi huyu Matonya Ndugai alipolazwa INDIA miezi 6 mshahara wake ulisimamishwa kwa vile hakuwa jimboni?
Nduagi ni sawa na Intarahamwe ambao kazi yao ni kuchokora na kuchonganisha watu ili waanze kuuana. Huyu Spika hana tofauti na wale waganga wa kienyezi wanaopiga RAMLI CHONGANISHI...ili watu wachinjane kwa chuki za kurogana!!!Spika huyu ni BOMU haijawahi tokea tangu Tanzania ipate Uhuru. Mungu atunusuru na janga hili.
 
Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Wabunge wa ccm waliopo bungeni wanafanya kazi gani
Kutunga sheria za kuwaumiza walipa kodi?
Mnaomba report ya daktari kwa lipi mlilomfanyia
Let the man speak out. Ulimwengu ujue the whole truth

Ungebutuliwa wewe au baba yako ungefanya anayoyafanya Lissu

Mmekosa utu hayawani nyie! Mnatia kichefuchefu
 
Back
Top Bottom