Sawa kabisa.Hawezi kuendelea kuidhalilishi nchi na serikali halafu serikali hiyo hiyo anayoidhalilisha na kuisaliti imlipe mshahara.Ale jeuri yake.Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kuna haja ya kusimamisha mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa sababu hayupo bungeni, jimboni kwake wala hospitalini, na hajapewa taarifa zozote na daktari.#GlobalHabariUpdates.
View attachment 1015718
Hiyo hela akulipe wewe ili ikasaidie familia yakoSafi sana, hiyo haitoshi hata deni la gari/ hela alipe pia na alipe sasa hivi!
Mchangieni aweze kuendelea na maisha.Kama amepona bila msaada wa bunge mshahara ni nini bwana. Hautamalizia ujenzi wa Chato International Airport
Kila Mtanzania Akitoa 100 kwa mwezi Lissu atasepa tu.Hahaha hivi unaamini kabisa Lissu kwa jinsi anavyopendwa na Watanzania anaweza kupata tabu ya hela?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu press that button harder, they have started to feel it. Just keep pressing.
Hahaha hivi unaamini kabisa Lissu kwa jinsi anavyopendwa na Watanzania anaweza kupata tabu ya hela?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe na Barbarosa mnabadili badili posti zenu mimi natunza kumbukumbuUkiona mshahara mesitishwa ujue ndio mwanzo wa Lissu ku-bid bye bye Bungeni. Pengine atasubiri kugombea urais ambao nao ni mawili kwa kuwa kuna mashaka iwapo atatimiza lengo hili maana E. N Lowasa, mwansiasa mwenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya Chadema amekuwa kwenye maandalizi hayo hayo tangu 2015. Who knows, it could be such an unceremonious end of punch politics of Tundu Antipasi Magwai Lissu.
Hiyo hela akulipe wewe ili ikasaidie familia yako
Unataka aje wammalizie???Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..
Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Mimi nakuuliza kama unaamini anaweza kupata tabu ya kukosa pesa?Hakuna mahali niliposema napenda apate tabu tayari ameshapata tabu na anaendelea kupata tabu hivyo mimi siwezi wala kupunguza kupata kwake tabu, ila hakuna maana kuendelea kumlipa mtu mshahara ambaye hafiki kazini, mimi nisiporipoti kazini kwa ugonjwa halafu nikaonekana napiga selfie mitandaoni nitafukuzwa pia.
Watakupa weweAkipoteza Mshahara wake inamaana atakosa kiunua mgongo.
πππ Mbona mabeberu walikacha kwenye mhadhara chuoni jana?Hahaha hivi unaamini kabisa Lissu kwa jinsi anavyopendwa na Watanzania anaweza kupata tabu ya hela?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wakupe ubunge wakeLisu ana maneno zaidi ya kasuku au kameza jenereta mbele ya mabeberu ila jimboni kwake watu wanateseka..wampige chini
Sent using Jamii Forums mobile app