Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Sawa kabisa.Hawezi kuendelea kuidhalilishi nchi na serikali halafu serikali hiyo hiyo anayoidhalilisha na kuisaliti imlipe mshahara.Ale jeuri yake.Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kuna haja ya kusimamisha mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa sababu hayupo bungeni, jimboni kwake wala hospitalini, na hajapewa taarifa zozote na daktari.#GlobalHabariUpdates.
View attachment 1015718