Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwani sasa wanabanwa na nani hadi andunje anasema Lissu alilipwa milioni za matibabu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani sasa wanabanwa na nani hadi andunje anasema Lissu alilipwa milioni za matibabu?
Kwaiyo ataishi ughaibuni tu na pesa zetu anajichotea?Sasa arudi bungeni ili ashambuliwe tena? Kama mtu anadai gari lilimfuatilia tangu bungeni mpaka nyumbani kwake na bado hiyo gari haijajulikana ,hapo bungeni ni mahali salama kwake kama akirudi?
ama kweli jamaa anatupiga mchana kweupe..Ama kweli Tundu Lissu anawanyima raha!
Si kwa risasi!
Ndugai sio katili..Amebinafsisha akili zote kwa jiwe ambaye amempa 1% ya akili zake (Jiwe)Umekataa kumtibu Haina shida ,lakini leo kudai report ya daktari ni uzwazwa mkubwa sana
Japo ndugai anaonekana ni MTU katili sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu ni mtoro ila Ndugai anachukulia poa tu. Alitoroka kuanzia siku viongozi wa cdm walivyomtoroshea Kenya hadi Ubeligiji.Embu labda tupate msaada wa Anapomzunguumzia daktari amabe anatakiwa kumpa taarifa Spika anamzunguzmzia dokta yupi wa hosptal gan ambayo Kama Bunge lina mawasiliano nao?
Tunamzunguzmia daktari ambae ili amtibu mtu mgonjwa wako inabd alipwe na akimshamtibu alete mrejesho kwa mgonjwa na anamehudumia Mgonjwa so sjajua kama Bunge limemlipa daktar yupi ili kupata hayo majibu ya Mgonjwa Lissu.
Mwenye majibu naomba..............
Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..
Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Inaumiza sana Ndugai amesahau utu ni bora kuliko madaraka ,hivi hata yule msukuma anadamu kweli na nyama mpaka anaongea vileNdugai sio katili..Amebinafsisha akili zote kwa jiwe ambaye amempa 1% ya akili zake (Jiwe)
Nikisemaga Tanzania ina mang'ombe huwa niko sahihi 1Kama kweli mshahara wa Tundu Lisu utazuiliwa baada ya mbunge huyo kumaliza tu mahojiano luningani yaliyomshirikisha pia mwakilishi wa Rais balozi Masilingi, basi bungeni labda kuna mambo hayako sawa.
Siamini kama Katibu wa bunge anaona huu ni wakati muafaka wa kusimamisha mshahara wa Lisu kwa sababu hii inampa uwanja mkubwa Tundu kwa kumuongezea vitu vipya vya kuongea.
Lakini sioni sababu za msingi za kuutangazia umma pale mshahara wa mnunge au mtumishi unaposimamishwa kwa sababu yoyote ile.
Zitto aliwahi kufukuzwa bungeni wakati wa Buzwagi na ndio akazidi kuwa maarufu.
Tusifanye maamuzi kwa jazba na kisiasa
Maendeleo hayana vyama!
Thubutu eti nguvu ya umma!!Wasitishe wataona nguvu ya umma jamaa hatakufa njaa wanaweza kumchangia vile vile milioni kumi na tatu siyo kitu $5600 hiyo anaweza kupewa kama allowance hata na wapinzani wa serikali ndani ya CCM endelee kupiga kelele akiwa huko nje ya nchi...kuna mambo yanaleta aibu sana yanayofanya na bwana Job...kukaa kimya kuna kuna nafuu, unless otherwise kama nao wanachokoza hoja hii saga iendelee na hatimaye wahusika watiwe mbaroni
Unaongea kijingajiiinga utadhani unaongelea mshahara wa Hamifirei TarapoleMpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Ndugai na MKUU wake ni wabaguzi ..Lissu kwasasa hana cha kupoteza, Mshahara kwake si kitu....
Yeye Ndugai kama Spika anapaswa kujua hali ya Lissu bila hata Lissu kumtaarifu.
Sent using Jamii Forums mobile app