Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaunga mkono wazo hili kwa asilimia 100%.Viongozi wa CDM, wajadili na kupiga mahesabu ya Mshahara na Marupu rupu ya Mh.Lissu, ambayo Spika Job Ndugai na wana hira wenzie, wanataka kuuzuia kisha watutangazie sisi wenyewe wa Tanzania tutamchangia Mh.Lissu kwa kufidia Mshahara utakao kuwa umepokonywa na Bunge uchwara!
Ni vema waandae Akaunt maalum ya Bank kwa mchango huu.
"That is our position" kwake jiyo unawasemea kundi la watu.Mm nina mawazo sawa na Spika pia.. Ni hivi, ingekuwa Mh. Lissu bado yuko hospitalini, au karudi nchini kwa wananchi waliomchagua anapaswa kulipwa mshahara na stahiki zake zote kama kawaida, ila sababu ni muda sasa katoka hospitali na yuko huko nje ya nchi anaitwa kila kituo cha TV duniani na kupata kusema anachojisikia, na ku attack bunge na serikali, mm nadhani hastahili kulipwa mshahara hadi arudi nchini na kama hajapona kwanini anatembea nchi zote hizo ktk media mbalimbali na kuchafua nchi yake..? Hatuungi mkono kabisa na tunalaani kwa vikali kitendo cha kushambuliwa kwa risasi alichofanyiwa Mh. Lissu hilo lieleweke wazi, that is our position, ila mgonjwa gani anazunguka duniani ktk TV mbali mbali na kuichafua nchi yake? Mgonjwa hawi hivyo hata kidogo..!!
Mgonjwa amu-assess mgonjwa?Dr Mtambuka ulimfanyia lini Lissu assessment mara ya mwisho?
Alifichwa? Hajawahi kujulikana alipo?Waliompiga Lisu anawajua dereva ambae amefichwa na mwenyekiti wa chama kwa hofu ya kuwataja
Sent using Jamii Forums mobile app
Alifichwa? Hajawahi kujulikana alipo?
Fikiri