Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Kwahiyo orodha ya watakaoitwa kuhojiwa na chama Ndugai aongezwemo.Tafsiri ya malalamiko ya Spika ni kwamba Mhimili wa Bunge umeshindwa kufanya kazi yake ya kuisimamia serikali (inakopa hovyo hovyo). Hivyo basi, Mhe. Ndugai kwa kauli yake anathibitisha kuingia rasmi kwenye kundi la akina Polepole, Gwajima na Silaa.
Unajua asilimia kubwa mishahara ya wabunge inatoka kwenye bajeti ipi? Au umeandika tu
Sawa anamlalamikia nani huyu mgogo?Naye analalamika kama sisi. Ni sawa nchi haina bunge.
Yaani ni ufinyo wa kufikiri kabisa ni sawa na daktari kumpa mgonjwa option either kumchoma sindano ya kusogeza mbele muda wa maumivu ama kumuamishia tatizo la jicho na alipelekee sikio.Yani eti wanaona tuna option mbili japokuwa tuna kila aina ya rasilimali. Yani kwao option ni either tukope au tozo
Julai 23, 2021 Spika alisema hili:Kwahiyo orodha ya watakaoitwa kuhojiwa na chama Ndugai aongezwemo.
Kama tozo ni bora, basi pigeni tozo migodi yote iliyo chini ya mabeberu mtalipa hizo trillion 70. Au nasema uongo ndugu zangu !!Spika wa Bunge ameonya kitendo cha serikali kuendelea kutegemea mikopo kutoka nje kuendesha nchi kitu ambacho kimefanya deni la taifa kuwa kubwa maradufu "Ipo siku hii nchi itapigwa mnada,kopeni tu".
View attachment 2060343
Maendeleo aliyoyafanya yalionekana ww kunguruAliyekopa fedha nyingi kuliko wote ni magufuli.
Marehemu pombe ameacha matatizo mengi sana katika hii nchi sababu ya ushamba wake
Wao wakuishauri Serikali ndio wanahoji Nchi ina matumizi makubwa ya hovyo tuu nilishangaa kuona mji wa Brantyre bei ya mafuta ipo sawa na Mwanza Tanzania kuja kuangalia tuna kodi nyingi sana kwenye mafuta achilia hilo bei ya mafuta Malawi ni moja Nchi nzima sio sisi uwizi na uongo tuu Pepsi ina bei moja ila mafuta tunayawekea vipengele wapo wachache wananufaika na hili..Isanga family Kauli yako haileweki. Swali lilikuwa lipi bora tozo au mikopo? dhambi ipo wapi kwenye kuhoji hilo?
Huwaga hamuelewi hoja iliyopo mezani!!??Leo nimeamini kwamba Tanzania kuna ombwe la uongozi. Hivi huyu si ni miongoni mwa viongozi wetu? Si huyu alikuwa kimya wakati wananchi wanadhalilishwa na yeye akafanya kejeli?Si huyu alimnyima mpinzani mmoja haki zake kwa kutetea umma? Si huyu alinyamaza kimya wakati serikali inakopa na tukidanganywa tunajenga na kumunua kila kitu kwa pesa taslimu hadi ndege! Si aseme tu kwamba hii ni kwasababu usukani uko mikononi kwa mama? Hivi siku hizi uko wapi uwajibikaji wa pamoja? Eti 2025 mchagueni tena tuone. Ila mama yupo na wala hakujiweka mwenyewe. Ni katiba iliyotungwa na watu kama Ndugai ambaye leo anajifanya amesahau. Watu wanamuona na wala hatoki ikiwa kuna lawama. Ni yeye na wenzake.
Vp hv sasa humuuingi mkono!! ama unaona aibu au bado unajiuliza!!Ndugai bhana !
Ndugai,Julai 23, 2021 Spika alisema hili:
Spika Ndugai amesema wabunge wameshapitisha tozo ya kizalendo kwenye miamala ya simu na sasa ni sheria hivyo asiyeitaka atupe njia mbadala ya kutufikisha 2025.
Disemba 28, 2021 Spika asema hili:
Spika wa Bunge ameonya kitendo cha serikali kuendelea kutegemea mikopo kutoka nje kuendesha nchi kitu ambacho kimefanya deni la taifa kuwa kubwa maradufu "Ipo siku hii nchi itapigwa mnada,kopeni tu".
Wananchi tushike lipi tuache lipi?
Bunge ni mdhibiti wa matumizi ya serekali pamoja na mikopo lkn akili fupi kama hii haiwezi elewa wala haijielewi!Aibu yake kageuka kuwa mpinzani ndani ya bunge lake mwenyewe.
Hakuna nchi inapigwa mnada,, marekani ndo nchi inaongoza kwa deni kubwa, mpaka serikali huwa inafungwa kwa mda,, lakini haijawahi kuuzwa,,,, [emoji1787][emoji1787]Katika mnada huo Gzinjabar haitahusika kabisa.
Wakenya, Waganda na Wanyarwanda waanze kuweka pesa kuna nchi ya bure huku wenye mamlaka wameanza kuota kuiuza kama shamba la urithi.
Kuna ombwe la uongozi kwa miaka mingi sana hapa duniani
Nimekuuliza ww, natarajia jibu si swali. Hakuna mahali nimesema nawapaTuambie ww huenda unawapa
Yaani bado 30 tr deni letu lifikie 1 quad (1 quadrillion) Baghosha!Kama tozo ni bora, basi pigeni tozo migodi yote iliyo chini ya mabeberu mtalipa hizo trillion 70. Au nasema uongo ndugu zangu !!