Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Kwahiyo orodha ya watakaoitwa kuhojiwa na chama Ndugai aongezwemo.Tafsiri ya malalamiko ya Spika ni kwamba Mhimili wa Bunge umeshindwa kufanya kazi yake ya kuisimamia serikali (inakopa hovyo hovyo). Hivyo basi, Mhe. Ndugai kwa kauli yake anathibitisha kuingia rasmi kwenye kundi la akina Polepole, Gwajima na Silaa.