Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Tangu tumepata Uhuru Hakuna Rais amekopa pakubwa Kwa Muda mfupi kama Magufuli lakini alikuwa bingwa wa kudanganya anatumia fedha za ndani. Tukahoji mbona deni la nje linaongezeka wakati mnatumia fedha zenu wenyewe? Nakumbuka majibu yenu nyie walamba viatu, mlitwambia kwani Mtu akikopa fedha inakuwa ya Nani? Leo mnataka kutudanganya Jiwe hakukopa? Hebu anzeni upya hizo propaganda wenzenu tuna kumbukumbu ya majibu yenu ya kifedhuli.
 
Nafikiri Watanzania tuamke na tuamue wenyewe aina Gani ya wabunge tunaowataka. Najua buΓ±ge la hawamu hii liliamuliwa na watu wachache lakini tusiwe wepesi kukubali kuamuliwa kwa kiasi cha kutisha kama kilivyofanywa na mwenda zake kwa sababu matokeo yake ndio hayo Sasa spika wa buΓ±ge naye analialia kama mtoto mdogo angali tushakopa na haitabadilika.

Mimi nilitegemea buΓ±ge ndio linapitisha uamuzi wa mwisho kwenye ishu ya mikopo tunayokopa na hapo ndio spika angetia Pini lkn tunabakia kujadili bungeni vitu vya kipuuzi siku nzima sijui mtu Fulani ajengewe sana tunaacha ishu sensitive zinazotakiwa kujadiliwa na wabunge.

Rais na spika wote hawana cha kupoteza walishajitajirisha, wananchi hususani wanyonge km alivyokuwa anawataja JPM ndio tubadilike tujue haki zetu kwa sababu mkwamo ukitokea kutoka na madhara ya mikopo hii ndio tutakao umia zaidi.
 
Beberu hawezi kutusaidia tuondokane na umasikini
 
Sasa sijui anamwambia nani wakati naye ni mhimili katika ile mihimili tuliyonayo....akiamua kutumia mhimili wake kama kweli anaumia nafsini mwake, anaweza kuleta changez ikawa kama toba yake...
Ndugai,ndugai ndugai,

Nakuita tena ndugai acha unafiki wewe mgogo, umebinywa pumbu sasahivi huna pa kusemea sasa unamkabili mama.

Ulitaka kuzuia mama asiwe rais baada ya yule kichaa kukata roho ukashindwa.

Sasa ukae kimya nyambaaafu mkubwa
 
H
Umeandika ujinga mtupu na kishabiki, Jiwe kakopa sana , na hatujui pesa zote kapeleka wapi, alikuwa hatoi ajira, alifukuza wafanyakazi hewa, na alisema tunajenga kwa pesa zetu wenyewe huku akikopa kwa Siri kwa Nini?
Hiyo mikopo ya siri itaje kama wewe sio domokaya?
Ni.mkpo upi ulikuwa wa siri, utaje?
 
Hajaongea kama analaumu,ameongea kuonyesha kwamba serikali huwa inalazimika kukopa kwa sababu Haina namna nyingine ya kuweza kugharamia maendeleo,
Na anaonyesha jinsi bunge lilivyokuwa kwenye wakati mgumu wa kupitisha
Nadhan wewe umeelewa context ya speech ya Ndugai πŸ‘πŸ‘πŸ‘ maana naona kuna vilaza hapo wameigeuza hiyo speech kama ni ugomvi au mgogoro wakati si kweli nadhan ni kutokana na uelewa mdogo
 
Kalamu ya Baba Askofu Benson Lwakalinda Bagonza

UMOJA au UHURU WA MIHIMILI?!

Spika kakosoa.
Rais kajibu.
Nani yuko sahihi?

Ugumu uko hapa:

1. Ukiishakuwa kiongozi unapoteza haki ya kulalamika. Rais kaonyesha uongozi kwa kukopa. Spika kapoteza uongozi kwa kulalamika.

2. Tunahitaji uhuru wa mihimili siyo Umoja wa mihimili. Maslahi ya walipa Kodi yapo katika uhuru wa mihimili si Umoja wa mihimili.

3. Watawala wasipigane vijembe. Simba akinguruma anamsaidia mwindaji ajue mahali Simba alipo. Rais azingatie moyoni.

4. Spika kapatia kutujulisha hatari za mikopo. Atujulishe na hatari ya kulipa mishahara wasio wabunge. Amalizie kutujulisha uhalali wa sheria zinazotungwa na wasio wabunge.

5. Mikopo ikisababisha nchi ipigwe mnada, bunge na mahakama watakosa uhalali wa kutumia sheria zilizotungwa na wasio wabunge.

6. Spika anashabikia tozo kuliko mikopo. Tozo ni maumivu yetu. Zimeua matumaini ya kuishi ili tuweze kwenda madarasa yanayojengwa na tozo.

6. Tukumbushane: Wakikosekana wapinzani wa kweli, CCM itatengeneza wake wa ndani. Tumempata Kiongozi Mkuu wa upinzani bungeni. Mmemwona? Vaeni miwani.

CCM imara inahitaji Upinzani Imara siyo upinzani wa ndani.

Kazi Iendelee.
 
Nadhan wewe umeelewa context ya speech ya Ndugai πŸ‘πŸ‘πŸ‘ maana naona kuna vilaza hapo wameigeuza hiyo speech kama ni ugomvi au mgogoro wakati si kweli nadhan ni kutokana na uelewa mdogo
Maza mwenyewe amemuelea nduga tofauti unalipata hilo Budda...
 
Wengine na ona wanaathari za awanu #5,Tena zenye chembe chembe za ubaguzi, ama maslahi yamepungua ama mrengo waliouchagua kiitikadi
 
nimwelewe Nini hapa ? Kwani kipindi Cha jiwe madini hayakuwepo, lakini alikopa , alidhibiti madini wakati hana hata ujuzi wowote wa hayo madini kuyatumia au kuyaprocess. Siwezi mwelewa mtu anaye msifu na kumwadu jiwe.
Mh!! Bado tu hujaona logic ya mtoa mada Hadi Sasa!! Kweli tumeumbwa tofauti Sana!.
 
H

Hiyo mikopo ya siri itaje kama wewe sio domokaya?
Ni.mkpo upi ulikuwa wa siri, utaje?
Ni lini jiwe alisema amekopa zaidi ya kudanganya raia kuwa tunajenga kwa pesa zetu wenyewe, na mjinga kama wewe ukaamini kuwa tunajenga kwa pesa zetu , wakati tuna import kwa karibu asilimia zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…