Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Mh!! Bado tu hujaona logic ya mtoa mada Hadi Sasa!! Kweli tumeumbwa tofauti Sana!.
Mkuu ni majanga, ndio la saba watakapopata wote Phd ubishani mdio utakuwa kama huu, hawataki kuelewa Wakati premises za kufanyia logic evaluation ya hoja hawana,
 
f1a2b0da-44f8-44d1-99fa-6011ad809948.jpg

Matajiri tunakutana. Sisi sio masikini tutembee kifua mbele
 
Miaka yote niliyoishi hapa Tanganyika sijawahi kuona msaada wa wazi,yote huwa ni 'SIRI' na ukiuona hadharani ujue imevuja.Hivyo sidhani kama unamtendea haki mtoa hoja,eti akutajie msaada/mkataba wa siri?
Michango hapa jf ilifaa iwe na mantiki ya great thinking.You're standing too low.
Mkuu humu kuna watoto sasa hivi mpaka shule zifunguliwe, sijui wanachokidai hata kama walikuwepo miaka hiyo kuona kama ilikuwa inafanyika hivyo, mkataba unawekwa wazi kwa wananchi,
 
Huo ndo ukweli umeseme,hawana uwezo wa kudhibiti resources za nchi na kutengeneza mapato Kama Mwendazake.
Ila wanataka waonekane na wao wamo🤣🤣🤣🤣.

Namradi wa bandari ya Bagamoyo ukiruhusiwa,madalali wa mnada wajiandae,Labda tupate rais kichaa Kama Jiwe atakayefumua mkataba huu wa mafisadi,Kama alivyofumua Mikataba ya madini.
 
hakuna anayekopa kwa faida ya watanzania watu wanakopa ilipige kupitia miradi mikubwa
Sasa inabidi tuungane na Spika kwenye hili... kalianzisha sisi tulipeleke kwa wananchi waelewe hiki umachokisema
 
Kweli kuna watu wanafiki na wanaishi kwa upepo jinsi unavyovuma

Naona hata zile Kanzu walikuwa wanavaa kina John siku ya Ijumaa zimepotea siku hizi

Hivi zilikuwa na maana gani? Maana wengi walivaa mpaka hijab na baibui wakienda kuomba Uarabuni
 
Sasa inabidi tuungane na Spika kwenye hili... kalianzisha sisi tulipeleke kwa wananchi waelewe hiki umachokisema
Hata Ndugai hana nia njema na wananchi sema amekosa access na hiyo mikopo anaumia wenzake waakavyopiga pesa bila yeye kushirikishwa wala hana lolote ni tapeli tu
 
Ndugai na ssh wote niwalewale

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Alichotakiwa kufanya Mhe. Ndugai ni kupinga ilani ya chama wakati inaandaliwa kwamba italiingiza taifa kwenye madeni ya kuweza kuifanya ikanadiwa, kama chama kisingemsikiliza basi angeibana serikali Bungeni akipinga miradi hiyo ya thamani kubwa kuliko uwezo wa nchi, sasa mama afanyeje leo ambapo miradi iko kwenye ujenzi? Job ana washauri wote wa kisekta walitakiwa wawe wanamuandaa Spika vizuri katika kila anachokifanya na kukisema. Ukim-fire Job fire na washauri wake.
 
Ndugai hana misimamo, na anafanya dharau (he is in denial) kuwa magu rafiki yake hayupo, na serikali ni chini ya mama na anatakiwa atoe ushirikiano, tangu lini Ndugai akakosoa serikal kama si dharau kwa awamu hii
 
TUMSAMEHE MCHAPA BAKORA WENZIE KATIKA KURA ZA MAONI*

Na Unoko ni Uzalendo

Serikali ina kopa Ili kupunguza mzigo wa Kodi kwa Wananchi ili itekeleze Miradi ya Maendeleo huku wananchi wasisikie ukali wa kodi kwa kutizama njia za kuongeza kodi ili Miradi ya Maendeleo itekelezwe.

Mchapa Bakora unakumbika kipindi hiki cha Mwisho wa Mwaka wananchi wa Jimbo lako walivyokuwa wanakimbizana kwa lengo la kuchangia ujenzi wa madarasa

Lakini kupitia fedha za UVIKO 19 serikali inaendelea na ukamilishaji wa vyumba vya madarasa bila kuwapa mzigo wananchi wake.

Mchapa Bakora unakumbuka tabu tuliokua tunapata katika Jimbo lako katika upatikanaji wa huduma bora ya Afya lakini kupitia fedha za mikopo yenye masharti nafuu umesaidia kujenga vituo vya Afya katika Jimbo lako

Mchapa Bakora unakumbuka wakati wa nyuma hatukuwahi kusikia matumizi ya fedha za mkopo lakini leo tunasikia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anaweka wazi fedha za mkopo zinakwenda kufanya nini katika maeneo yetu na tunaziona zikiendelea kujenga Barabara, Hospitali, Shule n.k

Mchapa Bakora hivi hauna mkopo uliokopa au umekopa na Bondi umeweka Serikali.? Tunaomba majibu mchapa Bakora. Jibu lake atasema ninao ila nakatwa kwenye mshahara wangu sasa kwanini usiweke nyumba zako kupunguza mzigo wa Madeni kwa serikali kama wewe ni Mzalendo?

Mchapa Bakora uchaguzi ujao usije tumia kisu kuupata Ubunge maana Kwa hoja zako umezidi kuonyesha kuwa hata Jimboni kwako wamekuchoka kwa vituko vya Hoja
 
Amekosea wapi?, kazi ys bunge na mbuge ni nini?
 
Back
Top Bottom