Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hakuna namna watu wapige pesa kama kawaidaUelewa wa wananchi mdogo kuliko wa sisimizi, una dhahabu , halafu ww masikini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna namna watu wapige pesa kama kawaidaUelewa wa wananchi mdogo kuliko wa sisimizi, una dhahabu , halafu ww masikini!
Mkuu umeona tatizo la akili zetu, hapahapa,Tulia umwelewe mtoa mada
Mkuu ni majanga, ndio la saba watakapopata wote Phd ubishani mdio utakuwa kama huu, hawataki kuelewa Wakati premises za kufanyia logic evaluation ya hoja hawana,Mh!! Bado tu hujaona logic ya mtoa mada Hadi Sasa!! Kweli tumeumbwa tofauti Sana!.
Mkuu humu kuna watoto sasa hivi mpaka shule zifunguliwe, sijui wanachokidai hata kama walikuwepo miaka hiyo kuona kama ilikuwa inafanyika hivyo, mkataba unawekwa wazi kwa wananchi,Miaka yote niliyoishi hapa Tanganyika sijawahi kuona msaada wa wazi,yote huwa ni 'SIRI' na ukiuona hadharani ujue imevuja.Hivyo sidhani kama unamtendea haki mtoa hoja,eti akutajie msaada/mkataba wa siri?
Michango hapa jf ilifaa iwe na mantiki ya great thinking.You're standing too low.
Sasa inabidi tuungane na Spika kwenye hili... kalianzisha sisi tulipeleke kwa wananchi waelewe hiki umachokisemahakuna anayekopa kwa faida ya watanzania watu wanakopa ilipige kupitia miradi mikubwa
basi tusubiri mnada, ngoja kazi ya kutafuta brokers tumpe ndugai, mbona kila mtu atainjoi na chake,Hakuna namna watu wapige pesa kama kawaida
Ndiyo maana Ndugai kajitungia sheria ya kutoshitakiwabasi tusubiri mnada, ngoja kazi ya kutafuta brokers tumpe ndugai, mbona kila mtu atainjoi na chake,
Alikuta trilion 35 yeye peke yake akakopa 35 trilion tena kimya kimya kwa fix nyingi eti nchi hii tajiri
Hata Ndugai hana nia njema na wananchi sema amekosa access na hiyo mikopo anaumia wenzake waakavyopiga pesa bila yeye kushirikishwa wala hana lolote ni tapeli tuSasa inabidi tuungane na Spika kwenye hili... kalianzisha sisi tulipeleke kwa wananchi waelewe hiki umachokisema
Alichotakiwa kufanya Mhe. Ndugai ni kupinga ilani ya chama wakati inaandaliwa kwamba italiingiza taifa kwenye madeni ya kuweza kuifanya ikanadiwa, kama chama kisingemsikiliza basi angeibana serikali Bungeni akipinga miradi hiyo ya thamani kubwa kuliko uwezo wa nchi, sasa mama afanyeje leo ambapo miradi iko kwenye ujenzi? Job ana washauri wote wa kisekta walitakiwa wawe wanamuandaa Spika vizuri katika kila anachokifanya na kukisema. Ukim-fire Job fire na washauri wake.
swal linahitaji wataalam wa mambo walijibuHivi pana, tofauti kati ya rais aliyesotea kura kupata urais na rais aliyepewa urais kwenye sahani ya fedha (silver plate); kwa habari ya kuwa na uchungu na nchi?
Amekosea wapi?, kazi ys bunge na mbuge ni nini?TUMSAMEHE MCHAPA BAKORA WENZIE KATIKA KURA ZA MAONI*
Na Unoko ni Uzalendo
Serikali ina kopa Ili kupunguza mzigo wa Kodi kwa Wananchi ili itekeleze Miradi ya Maendeleo huku wananchi wasisikie ukali wa kodi kwa kutizama njia za kuongeza kodi ili Miradi ya Maendeleo itekelezwe.
Mchapa Bakora unakumbika kipindi hiki cha Mwisho wa Mwaka wananchi wa Jimbo lako walivyokuwa wanakimbizana kwa lengo la kuchangia ujenzi wa madarasa
Lakini kupitia fedha za UVIKO 19 serikali inaendelea na ukamilishaji wa vyumba vya madarasa bila kuwapa mzigo wananchi wake.
Mchapa Bakora unakumbuka tabu tuliokua tunapata katika Jimbo lako katika upatikanaji wa huduma bora ya Afya lakini kupitia fedha za mikopo yenye masharti nafuu umesaidia kujenga vituo vya Afya katika Jimbo lako
Mchapa Bakora unakumbuka wakati wa nyuma hatukuwahi kusikia matumizi ya fedha za mkopo lakini leo tunasikia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anaweka wazi fedha za mkopo zinakwenda kufanya nini katika maeneo yetu na tunaziona zikiendelea kujenga Barabara, Hospitali, Shule n.k
Mchapa Bakora hivi hauna mkopo uliokopa au umekopa na Bondi umeweka Serikali.? Tunaomba majibu mchapa Bakora. Jibu lake atasema ninao ila nakatwa kwenye mshahara wangu sasa kwanini usiweke nyumba zako kupunguza mzigo wa Madeni kwa serikali kama wewe ni Mzalendo?
Mchapa Bakora uchaguzi ujao usije tumia kisu kuupata Ubunge maana Kwa hoja zako umezidi kuonyesha kuwa hata Jimboni kwako wamekuchoka kwa vituko vya Hoja