Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Huyo PIMBI atulize mshono watu wajenge nchi. Hali hii anayolalamikia ni matunda ya mikono yake kwakua rubber stamp ya serikali.

Ni huyu huyu aliyekua akishabikia mbilikimo mwenzie atawale milele.

Huyu Zuzu ni takataka in Asad voice.
 
Ndugai anapaswa kujua kwamba kama angesimama imara Magufuli asingethubutu kukopa fedha halafu akaendelea kuuhadaa umma kwamba tunatumia fedha zetu za ndani.

Udhaifu wa Ndugai ndiyo umepelekea taifa kufika hapa lilipo. Bunge chini ya Ndugai lilimuacha Magufuli akaongoza nchi kama vile anaongoza familia yake na sasa kila kitu kimeharibika.
 
Yeye ndiye spika
Mambo yote yanapitishwa mbele yake
Sasa unakuja kulalamika!eh

Ova

Ndio muelewe uwezo wa ccm kuongoza umefikia mwisho kwa mfano angalia utajiri wa nchi mito, maziwa, bahari, madini aina zote, mawe ya thamani, gesi asilia, bandari, fukwe zote, mbuga za wanyama zote lakini akili viongozi hawana wanawaza kuombaomba vipesa kidogo huko nje miaka yote pamoja na mali zote hizo unadhani tuna akili au matope
 
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.


Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.


Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
Duh!!
 
Siamini kama Ndugai anaweza kuzungumza haya maneno.

Kwa hiyo sasa ndio anakili Bunge ni Dhaifu.
Mbona alipoambiwa alighadhibika Sana.
Mbona wakati wa Magu alikuwa hazingumzi hivi.
Si alikuwa anaimba Bungeni kuwa atake asitake atawale milele.
Bunge lilikuwa wapi hadi lisiishauri serikali.
Kwanini asichukue hatua za Kibunge wakati huu.
Maswali ni mengi sana.
 
Ndio muelewe uwezo wa ccm kuongoza umefikia mwisho kwa mfano angalia utajiri wa nchi mito, maziwa, bahari, madini aina zote, mawe ya thamani, gesi asilia, bandari, fukwe zote, mbuga za wanyama zote lakini akili viongozi hawana wanawaza kuombaomba vipesa kidogo huko nje miaka yote pamoja na mali zote hizo unadhani tuna akili au matope
Hii sasa ni kasheshe, yaani !!
 
Kipindi hayo yote yanafanyika ndungai alikuwa Bado hajawa spika wa bunge? Ccm ni wanafiki wazandiki maguluguja.uzuli ni kwamba bunge lote ni kijani wananchi tunajua Kila kitu.
Wakati kuna robo ya wabunge kutoka vyama vingine humo bungeni walikuwa wanawalalamikia hao wabunge, real leo wapo ccm tu bungeni na lawama ni maradufu kuliko vipindi vyote vilivyopita.

👉🏾Hii nchi nyepesi sana kuiongoza tatizo ni aina ya mtu wa kuiongoza ndiye hajapatikana.
 
Back
Top Bottom