Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.

Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.

Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
View attachment 2060237
Ndungai ameamua kumkabili Hangaya uso kwa uso.
 
Huyu jamaa mjinga tu, Sasa kama bunge hakukubaliana hoja ya nape ya kuundwa chomba cha kuchunguza madeni yatokanayo na mikopo kipindi cha magufuli tumweleweje??
 
Miongoni mwa mtu ambaye hana la maana nchi hii ni Job. Yeye akae kimya kabisa. Wakati wa mwendazake alishiriki jinai zote mpaka zingine ambazo hata mwendazake alishangaa. Job hajui kwamba yuko na wabunge ndani ya bunge lake ambao hawana chama? Hili kwake yeye anaona ni sawa? Job ni sehemu ya watu wa hivyo ambao wameliharibu sana taifa hili na uongozi wake.
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.

Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.

Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
View attachment 2060237
 
Kati ya hizo pesa bilion 26 na ushee zilitumika kumtibia India.. BILLION 26 kwa kichwa kimoja na kumfanya kuwa mgonjwa ghali zaidi duniani
Hivi mkaguzi mkuu wa serikali report zake zote huwa zinawekwa chooni hazifanyiwi kazi
Tuhuma kama hizi ni aibuu tupu
 
Ndo mana nikikuta mtu anashabikia hawa watu huwa nampuuza tu. Yani spika analalamika wananchi wafanyaje sasa?
 
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.

Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.

Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
View attachment 2060237
Naamini ndani ya CCM mwehu hakuwa Magufuli pekee
 
Ndungai ameamua kumkabili Hangaya uso kwa uso.

Naona kaamua kumpa za uso na mamikopo yake ya kovid
wacha waendelee kuvurugana maana com nchi ishawashinda hii miaka 60 hawa majambazi wa ccm wameingiza taifa deni/hasara ya tirion 70.
yaani kila mwaka zaidi ya tirion moja.
Halafu bila aibu yanakuja na ngonjera eti kazi iendelee,
Kazi kuendelea kuingizia nchi hasara kwa madeni ya kipumbavu
 
Back
Top Bottom