luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hamna logic mzee , toa mahaba yako kwa jiwe utaona utumbo wa nzi alioandikaMh!! Bado tu hujaona logic ya mtoa mada Hadi Sasa!! Kweli tumeumbwa tofauti Sana!.
Hujielewi. Hivi unajua jpm ameamua kujinyonga tu baada ya nchi kustalk asa baada ya kuidanganya dunia kuwa nchi ina hela kumbe hamna kitu. Impact yake tukaanza kuona anapora pesa kwenye account za watu bank na kuwatumia akina sabya kupora pesa kwa wafanyabiashara, akawa hawezi kuajiri tena vijana wakaanza kupata taabu kuanzia kipindi chake wakati jk alifungua ajira kila Kona polisi, jeshi, walimu, madaktari, sector binafsi nk.kwamba siutetei upande wowote kwa ushabiki holela bali kwa hoja zenye kujibu naomba ieleweke,
Kusherehekea pesa kama wendawazimu bila kuelewa msingi wake ni utoto na mnaambiwa ukweli taka msitake!!!
Mwendazake alikuwa na plan zake na lkwa hili la leo wenue akili wote tumeelewa kuwa blue paper ya aliyoyafanya ilijulikana na the the top 5 of national authority akiwemo huyo job. Plan iliyokuwa na utaratibu wa kurejesha pesa kwa kupitia maliasili za madini haraka sana , ila hakuweza kisimamia plan hiyo mpaka mwisho kwa yaliyotokea.
Waliokuja, hawana uwezo wa kutembelea kiatu kile kwani uwezo wa kudhibiti maliasili na kuwabana mabebeeu ili kuingiza pesa hawana. Lakini bado tunawataka watekeleze maendeleo waliyoyarithi , hapo ndio kizungumkuti!
Wametapatapahuku na huko, mara tozo mara luku n.k lakini hela haitoshi kuendeleza miradi! Ikabidi wafuate masharti ya mabeberu ili wapate fedha , wananchi muone fly over na ndege mpya lkn njia ya kupatia fedha ilisha badirika.
Kwakuwa waliokuwepo wanajua ilivyokuwa na ilivyosasa, wanaona jinsi picha sasa linavyotisha . Kwa kupata maendeleo yale yale kimikopo bila uwezo wa kudhibiti madini ili kulipa mikopo hiyo jibu lake ni wazi kuwa hiyo ni disaster inakuja.
Hata ukiamgalia lile jiwe lilikuwa halisafiri kwenda magharibi na lilikuwa linajisifu kuwa linaandaa donor country, na mziki ule ilifikia dunia ikauelewa vizuri sana, kwani jiwe linakuambia Nickel ya kagera inatumika kutengeneza ndege na Tz ni ya 3/2 duniani , hellium ni gesi muhimu na Tz ni ya 1 au 2 duniani, bila kutaja madini mengine mengi tuliyonayo kwa wingi. Ukiweza kiyadhiniti vema hata ukope unakuwa na kiburi cha kulipa maana hata matajiri wanaweka akiba ya dhahabu sio minoti tu sasa kama una dhahabu ardhini maana yake unauhakika kuwa wewe una pesa na hakuna mtu mwenye akili anaejua nafasi ya dhahabu katika teknolojia ya uzalishaji na katika matumizi yake kama fedha atakunyima mkopo wowote akijua dhahabu ipo.
Tatizo linakuja kwa wattawala dhaifu ambao ubeberu wanauruhuau tena urudi, hawana udhibiti tena wa madini yetu( pesa yetu) , sasa hata wakikopa deni linakosa uhakika wa kulipwa , nchi ni lazima itapogwa mnada. Hawana jeuri ya kusema tena ," Tanzania ni tajiri".
Kwani hiyo trilion 70 aliyosema ndugai ni nani kakopa?H
Hiyo mikopo ya siri itaje kama wewe sio domokaya?
Ni.mkpo upi ulikuwa wa siri, utaje?
Mali zipi zitapata soko kwenye mnada kati ya mali za CCM na CHADEMA.Wapige mnada tu mbona tumechelewa sana.
Achana nao huwa wanaimba Wimbo wasiojua mtunziH
Hiyo mikopo ya siri itaje kama wewe sio domokaya?
Ni.mkpo upi ulikuwa wa siri, utaje?
Kwa hiyo magu alikuta deni 0 yeye kakopa 70tKwani hiyo trilion 70 aliyosema ndugai ni nani kakopa?
Mshauri wa Askofu, wakapiga makofi.Ukweli ni kuwa kichwa cha Ndungai anakijua mwenyewe... Anaona kukopa ni issue na si kulipa wabunge hewa?
TIME HEALS ALL WOUNDSkwamba siutetei upande wowote kwa ushabiki holela bali kwa hoja zenye kujibu naomba ieleweke,
Kusherehekea pesa kama wendawazimu bila kuelewa msingi wake ni utoto na mnaambiwa ukweli taka msitake!!!
Mwendazake alikuwa na plan zake na lkwa hili la leo wenue akili wote tumeelewa kuwa blue paper ya aliyoyafanya ilijulikana na the the top 5 of national authority akiwemo huyo job. Plan iliyokuwa na utaratibu wa kurejesha pesa kwa kupitia maliasili za madini haraka sana , ila hakuweza kisimamia plan hiyo mpaka mwisho kwa yaliyotokea.
Waliokuja, hawana uwezo wa kutembelea kiatu kile kwani uwezo wa kudhibiti maliasili na kuwabana mabebeeu ili kuingiza pesa hawana. Lakini bado tunawataka watekeleze maendeleo waliyoyarithi , hapo ndio kizungumkuti!
Wametapatapahuku na huko, mara tozo mara luku n.k lakini hela haitoshi kuendeleza miradi! Ikabidi wafuate masharti ya mabeberu ili wapate fedha , wananchi muone fly over na ndege mpya lkn njia ya kupatia fedha ilisha badirika.
Kwakuwa waliokuwepo wanajua ilivyokuwa na ilivyosasa, wanaona jinsi picha sasa linavyotisha . Kwa kupata maendeleo yale yale kimikopo bila uwezo wa kudhibiti madini ili kulipa mikopo hiyo jibu lake ni wazi kuwa hiyo ni disaster inakuja.
Hata ukiamgalia lile jiwe lilikuwa halisafiri kwenda magharibi na lilikuwa linajisifu kuwa linaandaa donor country, na mziki ule ilifikia dunia ikauelewa vizuri sana, kwani jiwe linakuambia Nickel ya kagera inatumika kutengeneza ndege na Tz ni ya 3/2 duniani , hellium ni gesi muhimu na Tz ni ya 1 au 2 duniani, bila kutaja madini mengine mengi tuliyonayo kwa wingi. Ukiweza kiyadhiniti vema hata ukope unakuwa na kiburi cha kulipa maana hata matajiri wanaweka akiba ya dhahabu sio minoti tu sasa kama una dhahabu ardhini maana yake unauhakika kuwa wewe una pesa na hakuna mtu mwenye akili anaejua nafasi ya dhahabu katika teknolojia ya uzalishaji na katika matumizi yake kama fedha atakunyima mkopo wowote akijua dhahabu ipo.
Tatizo linakuja kwa wattawala dhaifu ambao ubeberu wanauruhuau tena urudi, hawana udhibiti tena wa madini yetu( pesa yetu) , sasa hata wakikopa deni linakosa uhakika wa kulipwa , nchi ni lazima itapogwa mnada. Hawana jeuri ya kusema tena ," Tanzania ni tajiri".
Alikuwa anatudanganya hakopi kumbe anakopa kisirisiri bila kuweka Mambo wazi halafu anatudanganya nchi hii Ni tajiri wakati anatembeza bakuri. Jk mpaka anatoka kaa si zaidi ya trillion 40 tu. Hiyo nyingine ni jpm. Na vyombo vya habari vilikuwa vinaogopa Mana wangeuuawa.
Acha kudanganya watu wewe.. unasema Magufuli alikuwa anapanga kurejesha mikopo kwa kutumia madini.. wakati alikuwa anaongoza kwa kukopa na hakuna hela yoyote Ile ilitoka kwenye madini kama alivyotuaminisha tutalipwa trillion 400. Na hakuna hata kumi tumelipwakwamba siutetei upande wowote kwa ushabiki holela bali kwa hoja zenye kujibu naomba ieleweke,
Kusherehekea pesa kama wendawazimu bila kuelewa msingi wake ni utoto na mnaambiwa ukweli taka msitake!!!
Mwendazake alikuwa na plan zake na lkwa hili la leo wenue akili wote tumeelewa kuwa blue paper ya aliyoyafanya ilijulikana na the the top 5 of national authority akiwemo huyo job. Plan iliyokuwa na utaratibu wa kurejesha pesa kwa kupitia maliasili za madini haraka sana , ila hakuweza kisimamia plan hiyo mpaka mwisho kwa yaliyotokea.
Waliokuja, hawana uwezo wa kutembelea kiatu kile kwani uwezo wa kudhibiti maliasili na kuwabana mabebeeu ili kuingiza pesa hawana. Lakini bado tunawataka watekeleze maendeleo waliyoyarithi , hapo ndio kizungumkuti!
Wametapatapahuku na huko, mara tozo mara luku n.k lakini hela haitoshi kuendeleza miradi! Ikabidi wafuate masharti ya mabeberu ili wapate fedha , wananchi muone fly over na ndege mpya lkn njia ya kupatia fedha ilisha badirika.
Kwakuwa waliokuwepo wanajua ilivyokuwa na ilivyosasa, wanaona jinsi picha sasa linavyotisha . Kwa kupata maendeleo yale yale kimikopo bila uwezo wa kudhibiti madini ili kulipa mikopo hiyo jibu lake ni wazi kuwa hiyo ni disaster inakuja.
Hata ukiamgalia lile jiwe lilikuwa halisafiri kwenda magharibi na lilikuwa linajisifu kuwa linaandaa donor country, na mziki ule ilifikia dunia ikauelewa vizuri sana, kwani jiwe linakuambia Nickel ya kagera inatumika kutengeneza ndege na Tz ni ya 3/2 duniani , hellium ni gesi muhimu na Tz ni ya 1 au 2 duniani, bila kutaja madini mengine mengi tuliyonayo kwa wingi. Ukiweza kiyadhiniti vema hata ukope unakuwa na kiburi cha kulipa maana hata matajiri wanaweka akiba ya dhahabu sio minoti tu sasa kama una dhahabu ardhini maana yake unauhakika kuwa wewe una pesa na hakuna mtu mwenye akili anaejua nafasi ya dhahabu katika teknolojia ya uzalishaji na katika matumizi yake kama fedha atakunyima mkopo wowote akijua dhahabu ipo.
Tatizo linakuja kwa wattawala dhaifu ambao ubeberu wanauruhuau tena urudi, hawana udhibiti tena wa madini yetu( pesa yetu) , sasa hata wakikopa deni linakosa uhakika wa kulipwa , nchi ni lazima itapogwa mnada. Hawana jeuri ya kusema tena ," Tanzania ni tajiri".
Miaka yote niliyoishi hapa Tanganyika sijawahi kuona msaada wa wazi,yote huwa ni 'SIRI' na ukiuona hadharani ujue imevuja.Hivyo sidhani kama unamtendea haki mtoa hoja,eti akutajie msaada/mkataba wa siri?H
Hiyo mikopo ya siri itaje kama wewe sio domokaya?
Ni.mkpo upi ulikuwa wa siri, utaje?
Kwani jiwe amelipa ngapi mbona tunaona kakopa tu,upande huo alifaulu marehemu Mkapa tu huyu primitive aliangamiza taifa tumpe muda mama alikuta nchi ipo hoi kiuchumikwamba siutetei upande wowote kwa ushabiki holela bali kwa hoja zenye kujibu naomba ieleweke,
Kusherehekea pesa kama wendawazimu bila kuelewa msingi wake ni utoto na mnaambiwa ukweli taka msitake!!!
Mwendazake alikuwa na plan zake na lkwa hili la leo wenue akili wote tumeelewa kuwa blue paper ya aliyoyafanya ilijulikana na the the top 5 of national authority akiwemo huyo job. Plan iliyokuwa na utaratibu wa kurejesha pesa kwa kupitia maliasili za madini haraka sana , ila hakuweza kisimamia plan hiyo mpaka mwisho kwa yaliyotokea.
Waliokuja, hawana uwezo wa kutembelea kiatu kile kwani uwezo wa kudhibiti maliasili na kuwabana mabebeeu ili kuingiza pesa hawana. Lakini bado tunawataka watekeleze maendeleo waliyoyarithi , hapo ndio kizungumkuti!
Wametapatapahuku na huko, mara tozo mara luku n.k lakini hela haitoshi kuendeleza miradi! Ikabidi wafuate masharti ya mabeberu ili wapate fedha , wananchi muone fly over na ndege mpya lkn njia ya kupatia fedha ilisha badirika.
Kwakuwa waliokuwepo wanajua ilivyokuwa na ilivyosasa, wanaona jinsi picha sasa linavyotisha . Kwa kupata maendeleo yale yale kimikopo bila uwezo wa kudhibiti madini ili kulipa mikopo hiyo jibu lake ni wazi kuwa hiyo ni disaster inakuja.
Hata ukiamgalia lile jiwe lilikuwa halisafiri kwenda magharibi na lilikuwa linajisifu kuwa linaandaa donor country, na mziki ule ilifikia dunia ikauelewa vizuri sana, kwani jiwe linakuambia Nickel ya kagera inatumika kutengeneza ndege na Tz ni ya 3/2 duniani , hellium ni gesi muhimu na Tz ni ya 1 au 2 duniani, bila kutaja madini mengine mengi tuliyonayo kwa wingi. Ukiweza kiyadhiniti vema hata ukope unakuwa na kiburi cha kulipa maana hata matajiri wanaweka akiba ya dhahabu sio minoti tu sasa kama una dhahabu ardhini maana yake unauhakika kuwa wewe una pesa na hakuna mtu mwenye akili anaejua nafasi ya dhahabu katika teknolojia ya uzalishaji na katika matumizi yake kama fedha atakunyima mkopo wowote akijua dhahabu ipo.
Tatizo linakuja kwa wattawala dhaifu ambao ubeberu wanauruhuau tena urudi, hawana udhibiti tena wa madini yetu( pesa yetu) , sasa hata wakikopa deni linakosa uhakika wa kulipwa , nchi ni lazima itapogwa mnada. Hawana jeuri ya kusema tena ," Tanzania ni tajiri".
hakuna anayekopa kwa faida ya watanzania watu wanakopa ilipige kupitia miradi mikubwaBaada ya tafakari ya muda mrefu sana nimelazimika kuyaelewa maneno ya Spika Job Ndugai. Naungana nae.
Ni wazi kuwa maneno yake yamekuja wakati sahihi. Ameongea kama mwananchi wa kawaida kabisa... Na kwa vile yupo ndani ndani huko kuna mengi anayajua! Cha ajabu sisi wananchi wa kawaida ndo wale wale tunaompiga vita na kumkashifu.
Badala ya kuwa upande wa wapiga makofi na waimba sifa Tulipaswa tuwe na harakati huru na endelevu za kutaka kujua matumizi ya fedha za mikopo na zile za tozo! Isije ikawa tunatumika kama dhamana ya mikopo ili wateule wachache wazidi kuneemeka.
Dalili za matumizi ya kufuru na anasa zipo wazi kabla hata ya SSH.
Je, hatupaswi kwenda mbali zaidi kuhoji uhalali wa mikopo/tozo na matumizi yake?? Au tukishaambiwa na watawala basi tuufyate zaidi ya maandiko!