Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

kwamba siutetei upande wowote kwa ushabiki holela bali kwa hoja zenye kujibu naomba ieleweke,

Kusherehekea pesa kama wendawazimu bila kuelewa msingi wake ni utoto na mnaambiwa ukweli taka msitake!!!

Mwendazake alikuwa na plan zake na lkwa hili la leo wenue akili wote tumeelewa kuwa blue paper ya aliyoyafanya ilijulikana na the the top 5 of national authority akiwemo huyo job. Plan iliyokuwa na utaratibu wa kurejesha pesa kwa kupitia maliasili za madini haraka sana , ila hakuweza kisimamia plan hiyo mpaka mwisho kwa yaliyotokea.

Waliokuja, hawana uwezo wa kutembelea kiatu kile kwani uwezo wa kudhibiti maliasili na kuwabana mabebeeu ili kuingiza pesa hawana. Lakini bado tunawataka watekeleze maendeleo waliyoyarithi , hapo ndio kizungumkuti!
Wametapatapahuku na huko, mara tozo mara luku n.k lakini hela haitoshi kuendeleza miradi! Ikabidi wafuate masharti ya mabeberu ili wapate fedha , wananchi muone fly over na ndege mpya lkn njia ya kupatia fedha ilisha badirika.
Kwakuwa waliokuwepo wanajua ilivyokuwa na ilivyosasa, wanaona jinsi picha sasa linavyotisha . Kwa kupata maendeleo yale yale kimikopo bila uwezo wa kudhibiti madini ili kulipa mikopo hiyo jibu lake ni wazi kuwa hiyo ni disaster inakuja.

Hata ukiamgalia lile jiwe lilikuwa halisafiri kwenda magharibi na lilikuwa linajisifu kuwa linaandaa donor country, na mziki ule ilifikia dunia ikauelewa vizuri sana, kwani jiwe linakuambia Nickel ya kagera inatumika kutengeneza ndege na Tz ni ya 3/2 duniani , hellium ni gesi muhimu na Tz ni ya 1 au 2 duniani, bila kutaja madini mengine mengi tuliyonayo kwa wingi. Ukiweza kiyadhiniti vema hata ukope unakuwa na kiburi cha kulipa maana hata matajiri wanaweka akiba ya dhahabu sio minoti tu sasa kama una dhahabu ardhini maana yake unauhakika kuwa wewe una pesa na hakuna mtu mwenye akili anaejua nafasi ya dhahabu katika teknolojia ya uzalishaji na katika matumizi yake kama fedha atakunyima mkopo wowote akijua dhahabu ipo.
Tatizo linakuja kwa wattawala dhaifu ambao ubeberu wanauruhuau tena urudi, hawana udhibiti tena wa madini yetu( pesa yetu) , sasa hata wakikopa deni linakosa uhakika wa kulipwa , nchi ni lazima itapogwa mnada. Hawana jeuri ya kusema tena ," Tanzania ni tajiri".
Hujielewi. Hivi unajua jpm ameamua kujinyonga tu baada ya nchi kustalk asa baada ya kuidanganya dunia kuwa nchi ina hela kumbe hamna kitu. Impact yake tukaanza kuona anapora pesa kwenye account za watu bank na kuwatumia akina sabya kupora pesa kwa wafanyabiashara, akawa hawezi kuajiri tena vijana wakaanza kupata taabu kuanzia kipindi chake wakati jk alifungua ajira kila Kona polisi, jeshi, walimu, madaktari, sector binafsi nk.

Huyu jpm ambaye alikuwa anapuyanga tu na akaona nchi haieendi akaanza kuua watu ovyo ovyo wanaomkosoa ili kuficha aibu zake za kuidanganya dunia. Sina hamu na jpm Bora Samia Mara Mia.
 
Kinachomsumbua Mh. Spika Ndugai sio mkopo au huruma kwa Taifa au kutetea masikini wa Tanzania wanaolipa mkopo. La hasha! Kinachomuuma ni kwamba yeye hamuoni HE Samia Suluhu Hassan kama Rais kamili na kwamba anaweza kufanikisha miradi muhimu na kupata political mileage. Anatamani miradi ya JPM ife ili Ndugai apate agenda 2025 dhidi ya Rais.

Ni agenda ya kisiasa zaidi. Vinginevyo asingemshabikia JPM na mikopo mikubwa ya siri kwa miradi hiyohiyo tena kwa kutulaghai kwamba ni fedha za ndani. Japo mimi nimemchukia HE Samia kwa kumsingizia Chairman Mbowe Ugaidi, kwa suala hili ni approach nzuri ili miradi hiyo iishe isiendelee kuoza.

Ndugai yuko tayari tukatwe tozo kwa nguvu sisi watanzania lakini hayuko tayari tukope na kujenga uchumi imara. Ndugai kama kweli anatuonea huruma arudishe mamilioni ya watanzania aliyojilipa India ugonjwani huku akiwanyima kina Lisu mshahara na matibabu.

Pia afukuze wabunge 19 anaowalipa mshahara kinyume na Katiba na matakwa ya sheria za nchi. Afukuze wabunge na madiwani wote aliowanunua kwa pesa za kukopa kifichoni na za wizi. Mwache mama afanye kazi usimsonge!
 
Ukweli ni kuwa kichwa cha Ndungai anakijua mwenyewe... Anaona kukopa ni issue na si kulipa wabunge hewa?
Mshauri wa Askofu, wakapiga makofi.

Anajua Yesu alioa,wakapiga makofi.wala hawakumzomea.

Ndugai anajua njia zote alizopita Yesu,wakapiga makofi.

POCHI LA MAMA wakapiga makofi.

Leo analalamika nje ya mjengo.

Ulimwengu alikuwa sahihi 100%
 
kwamba siutetei upande wowote kwa ushabiki holela bali kwa hoja zenye kujibu naomba ieleweke,

Kusherehekea pesa kama wendawazimu bila kuelewa msingi wake ni utoto na mnaambiwa ukweli taka msitake!!!

Mwendazake alikuwa na plan zake na lkwa hili la leo wenue akili wote tumeelewa kuwa blue paper ya aliyoyafanya ilijulikana na the the top 5 of national authority akiwemo huyo job. Plan iliyokuwa na utaratibu wa kurejesha pesa kwa kupitia maliasili za madini haraka sana , ila hakuweza kisimamia plan hiyo mpaka mwisho kwa yaliyotokea.

Waliokuja, hawana uwezo wa kutembelea kiatu kile kwani uwezo wa kudhibiti maliasili na kuwabana mabebeeu ili kuingiza pesa hawana. Lakini bado tunawataka watekeleze maendeleo waliyoyarithi , hapo ndio kizungumkuti!
Wametapatapahuku na huko, mara tozo mara luku n.k lakini hela haitoshi kuendeleza miradi! Ikabidi wafuate masharti ya mabeberu ili wapate fedha , wananchi muone fly over na ndege mpya lkn njia ya kupatia fedha ilisha badirika.
Kwakuwa waliokuwepo wanajua ilivyokuwa na ilivyosasa, wanaona jinsi picha sasa linavyotisha . Kwa kupata maendeleo yale yale kimikopo bila uwezo wa kudhibiti madini ili kulipa mikopo hiyo jibu lake ni wazi kuwa hiyo ni disaster inakuja.

Hata ukiamgalia lile jiwe lilikuwa halisafiri kwenda magharibi na lilikuwa linajisifu kuwa linaandaa donor country, na mziki ule ilifikia dunia ikauelewa vizuri sana, kwani jiwe linakuambia Nickel ya kagera inatumika kutengeneza ndege na Tz ni ya 3/2 duniani , hellium ni gesi muhimu na Tz ni ya 1 au 2 duniani, bila kutaja madini mengine mengi tuliyonayo kwa wingi. Ukiweza kiyadhiniti vema hata ukope unakuwa na kiburi cha kulipa maana hata matajiri wanaweka akiba ya dhahabu sio minoti tu sasa kama una dhahabu ardhini maana yake unauhakika kuwa wewe una pesa na hakuna mtu mwenye akili anaejua nafasi ya dhahabu katika teknolojia ya uzalishaji na katika matumizi yake kama fedha atakunyima mkopo wowote akijua dhahabu ipo.
Tatizo linakuja kwa wattawala dhaifu ambao ubeberu wanauruhuau tena urudi, hawana udhibiti tena wa madini yetu( pesa yetu) , sasa hata wakikopa deni linakosa uhakika wa kulipwa , nchi ni lazima itapogwa mnada. Hawana jeuri ya kusema tena ," Tanzania ni tajiri".
TIME HEALS ALL WOUNDS

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo magu alikuta deni 0 yeye kakopa 70t

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anatudanganya hakopi kumbe anakopa kisirisiri bila kuweka Mambo wazi halafu anatudanganya nchi hii Ni tajiri wakati anatembeza bakuri. Jk mpaka anatoka kaa si zaidi ya trillion 40 tu. Hiyo nyingine ni jpm. Na vyombo vya habari vilikuwa vinaogopa Mana wangeuuawa.

Sema mama anachokosea ni kuweka wazi Sana kila kitu na kuwapa Uhuru kila mtu.
 
kwamba siutetei upande wowote kwa ushabiki holela bali kwa hoja zenye kujibu naomba ieleweke,

Kusherehekea pesa kama wendawazimu bila kuelewa msingi wake ni utoto na mnaambiwa ukweli taka msitake!!!

Mwendazake alikuwa na plan zake na lkwa hili la leo wenue akili wote tumeelewa kuwa blue paper ya aliyoyafanya ilijulikana na the the top 5 of national authority akiwemo huyo job. Plan iliyokuwa na utaratibu wa kurejesha pesa kwa kupitia maliasili za madini haraka sana , ila hakuweza kisimamia plan hiyo mpaka mwisho kwa yaliyotokea.

Waliokuja, hawana uwezo wa kutembelea kiatu kile kwani uwezo wa kudhibiti maliasili na kuwabana mabebeeu ili kuingiza pesa hawana. Lakini bado tunawataka watekeleze maendeleo waliyoyarithi , hapo ndio kizungumkuti!
Wametapatapahuku na huko, mara tozo mara luku n.k lakini hela haitoshi kuendeleza miradi! Ikabidi wafuate masharti ya mabeberu ili wapate fedha , wananchi muone fly over na ndege mpya lkn njia ya kupatia fedha ilisha badirika.
Kwakuwa waliokuwepo wanajua ilivyokuwa na ilivyosasa, wanaona jinsi picha sasa linavyotisha . Kwa kupata maendeleo yale yale kimikopo bila uwezo wa kudhibiti madini ili kulipa mikopo hiyo jibu lake ni wazi kuwa hiyo ni disaster inakuja.

Hata ukiamgalia lile jiwe lilikuwa halisafiri kwenda magharibi na lilikuwa linajisifu kuwa linaandaa donor country, na mziki ule ilifikia dunia ikauelewa vizuri sana, kwani jiwe linakuambia Nickel ya kagera inatumika kutengeneza ndege na Tz ni ya 3/2 duniani , hellium ni gesi muhimu na Tz ni ya 1 au 2 duniani, bila kutaja madini mengine mengi tuliyonayo kwa wingi. Ukiweza kiyadhiniti vema hata ukope unakuwa na kiburi cha kulipa maana hata matajiri wanaweka akiba ya dhahabu sio minoti tu sasa kama una dhahabu ardhini maana yake unauhakika kuwa wewe una pesa na hakuna mtu mwenye akili anaejua nafasi ya dhahabu katika teknolojia ya uzalishaji na katika matumizi yake kama fedha atakunyima mkopo wowote akijua dhahabu ipo.
Tatizo linakuja kwa wattawala dhaifu ambao ubeberu wanauruhuau tena urudi, hawana udhibiti tena wa madini yetu( pesa yetu) , sasa hata wakikopa deni linakosa uhakika wa kulipwa , nchi ni lazima itapogwa mnada. Hawana jeuri ya kusema tena ," Tanzania ni tajiri".
Acha kudanganya watu wewe.. unasema Magufuli alikuwa anapanga kurejesha mikopo kwa kutumia madini.. wakati alikuwa anaongoza kwa kukopa na hakuna hela yoyote Ile ilitoka kwenye madini kama alivyotuaminisha tutalipwa trillion 400. Na hakuna hata kumi tumelipwa
 
H

Hiyo mikopo ya siri itaje kama wewe sio domokaya?
Ni.mkpo upi ulikuwa wa siri, utaje?
Miaka yote niliyoishi hapa Tanganyika sijawahi kuona msaada wa wazi,yote huwa ni 'SIRI' na ukiuona hadharani ujue imevuja.Hivyo sidhani kama unamtendea haki mtoa hoja,eti akutajie msaada/mkataba wa siri?
Michango hapa jf ilifaa iwe na mantiki ya great thinking.You're standing too low.
 
kwamba siutetei upande wowote kwa ushabiki holela bali kwa hoja zenye kujibu naomba ieleweke,

Kusherehekea pesa kama wendawazimu bila kuelewa msingi wake ni utoto na mnaambiwa ukweli taka msitake!!!

Mwendazake alikuwa na plan zake na lkwa hili la leo wenue akili wote tumeelewa kuwa blue paper ya aliyoyafanya ilijulikana na the the top 5 of national authority akiwemo huyo job. Plan iliyokuwa na utaratibu wa kurejesha pesa kwa kupitia maliasili za madini haraka sana , ila hakuweza kisimamia plan hiyo mpaka mwisho kwa yaliyotokea.

Waliokuja, hawana uwezo wa kutembelea kiatu kile kwani uwezo wa kudhibiti maliasili na kuwabana mabebeeu ili kuingiza pesa hawana. Lakini bado tunawataka watekeleze maendeleo waliyoyarithi , hapo ndio kizungumkuti!
Wametapatapahuku na huko, mara tozo mara luku n.k lakini hela haitoshi kuendeleza miradi! Ikabidi wafuate masharti ya mabeberu ili wapate fedha , wananchi muone fly over na ndege mpya lkn njia ya kupatia fedha ilisha badirika.
Kwakuwa waliokuwepo wanajua ilivyokuwa na ilivyosasa, wanaona jinsi picha sasa linavyotisha . Kwa kupata maendeleo yale yale kimikopo bila uwezo wa kudhibiti madini ili kulipa mikopo hiyo jibu lake ni wazi kuwa hiyo ni disaster inakuja.

Hata ukiamgalia lile jiwe lilikuwa halisafiri kwenda magharibi na lilikuwa linajisifu kuwa linaandaa donor country, na mziki ule ilifikia dunia ikauelewa vizuri sana, kwani jiwe linakuambia Nickel ya kagera inatumika kutengeneza ndege na Tz ni ya 3/2 duniani , hellium ni gesi muhimu na Tz ni ya 1 au 2 duniani, bila kutaja madini mengine mengi tuliyonayo kwa wingi. Ukiweza kiyadhiniti vema hata ukope unakuwa na kiburi cha kulipa maana hata matajiri wanaweka akiba ya dhahabu sio minoti tu sasa kama una dhahabu ardhini maana yake unauhakika kuwa wewe una pesa na hakuna mtu mwenye akili anaejua nafasi ya dhahabu katika teknolojia ya uzalishaji na katika matumizi yake kama fedha atakunyima mkopo wowote akijua dhahabu ipo.
Tatizo linakuja kwa wattawala dhaifu ambao ubeberu wanauruhuau tena urudi, hawana udhibiti tena wa madini yetu( pesa yetu) , sasa hata wakikopa deni linakosa uhakika wa kulipwa , nchi ni lazima itapogwa mnada. Hawana jeuri ya kusema tena ," Tanzania ni tajiri".
Kwani jiwe amelipa ngapi mbona tunaona kakopa tu,upande huo alifaulu marehemu Mkapa tu huyu primitive aliangamiza taifa tumpe muda mama alikuta nchi ipo hoi kiuchumi
 
Baada ya tafakari ya muda mrefu sana nimelazimika kuyaelewa maneno ya Spika Job Ndugai. Naungana nae.

Ni wazi kuwa maneno yake yamekuja wakati sahihi. Ameongea kama mwananchi wa kawaida kabisa... Na kwa vile yupo ndani ndani huko kuna mengi anayajua! Cha ajabu sisi wananchi wa kawaida ndo wale wale tunaompiga vita na kumkashifu.

Badala ya kuwa upande wa wapiga makofi na waimba sifa Tulipaswa tuwe na harakati huru na endelevu za kutaka kujua matumizi ya fedha za mikopo na zile za tozo! Isije ikawa tunatumika kama dhamana ya mikopo ili wateule wachache wazidi kuneemeka.

Dalili za matumizi ya kufuru na anasa zipo wazi kabla hata ya SSH.

Je, hatupaswi kwenda mbali zaidi kuhoji uhalali wa mikopo/tozo na matumizi yake?? Au tukishaambiwa na watawala basi tuufyate zaidi ya maandiko!
hakuna anayekopa kwa faida ya watanzania watu wanakopa ilipige kupitia miradi mikubwa
 
Back
Top Bottom