Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Enzi za Chuma aliufyata mwambieni asimsumbue Mama atulie.
 
Tatizo sio wasomi, tatizo ni mfumo wa elim inayotolewa Tanzania.. Elimu enyewe ya kizungu. Ngoja tuone mwisho wetu ni upi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa najiuliza , ni fedheha ya namna gani hii tuliyopata nchi hii , yaani kwa miaka mitano tukatengeneza heshima kubwa katika taifa hili kwa namna ya miujiza kweli. Mataifa yote yakatishangaa jinsi tulivyoonesha misimamo . Kiasi kwamba hata alipofariki jamaa nusu ya ulimwengu walifuatilia jambo lile!!!

Baada ya miezi sita tu misimamo yote ilkavurugwa hadharani peupe, mbele ya ulimwengu wote bila ya aibu.! Mpaka ile ambayo inajulikana kuwa ni misimamo ya kimaadili ya taifa hili kulingana na utamaduni wetu wa maisha yote. Tena aliyeisimamia akatukanwa hafharani ili kuwafurahisha hao mabeberu , kama vile mkeo anapoambiwa akutukane na mchepuko wake wakati wamenogewa!!!!
Hii kwa kweli imekuwa ni aibu na fedheha kubwa kwa watanzania wote tuliokuwa tunajua sasa heshima yetu imerudi ulimwenguni!! Kwa kweli imekuwa ni fedheha kubwa na nilikuwa najiuliza wazee hawa na mbupu zao waliokulia katika maadili ya mababu wanakubalije upuuzi mkubwa namna hii!!! Wazee ambao bado wapo, wengine walikuwepo wakati wa uhuru, wengine walipigana vita ya kagera, wazee walioivishwa ndani ya azimio la arusha katika uzalendo wa kweli, wanakubalije misingi ya heahima ya taifa hili inadhalilishwa mchana peupe mbele ya ulimwengu mzima?????
Hii sio Tanzania iliyokombolewa chini ya uongozi wa mwalimu JK ! Na haya sio maadili aliyotuachia baba yetu JK hata ukisikiliza wosia wake leo hii utalielewa hilo.
Ndugai umetukonga moyo watanzania. Mi nilijua kuwa ni swala la muda tu, nilijua pia kuwa haiwezekani polepole awe peke yake kwenye hili, wajinga wanafikiri hivyo.
Najua wazee mpo ila busara zenu ndio ziliwafanya mtulie kwanza msiba uishe , tuanue matanga. Ni tofauti na hao vichaa, ambao msiba haujaisha kwa uchu , chuki, na tamaa za kifisadi wakaanza vurugu mbele ya dunia nzima. Hakika wamezidi kulidhalilisha taifa la Nyerere.!!!!!!
Lakini kwa kuwa sasa matanga yameisha, naona wazee mmeanza kutuma wajumbe wenu , hakika watanzania tumewaelewa wazee na tupo tayari kuitetea heahima ya taifa letu hili.
Tupo tayari, andaeni nondo za maana za kuwatwangia mafisadi hawa , ngoma ya watoto haikeshi, hawana baraka za wazee hao. TUANDALIENI VIJANA WALIOKATAA UPUMBAVU WAO , VIJANA WANAOPENDA UZALENDO, ILI WAPOKEE MADARAKA 2025.
Ndugai na wazee mmeanza kutukonga moyo.........VIVA !!!!!!!


 
Huyo Ndugai ni aibu kwa taifa. Ukweli lazima usemwe, awamu ya tano ilikopa kwenye mabenki ya biashara na kutudanganya miradi inalipwa kwa pesa za ndani. Huyu mama ana hekima sana, ni mama wa taifa, aungwe mkono
Wazalendo wasiposimama kushindana na hoja zenu mnaotaka nchi ipigwe mnada , maneno ya Ndugai yatatimia,
 
Tatizo kubwa ni Ujinga, Maradhi, Umaskini bila kusahau adui mpya Unafiki.
 
Wazalendo wasiposimama kushindana na hoja zenu mnaotaka nchi ipigwe mnada , maneno ya Ndugai yatatimia,
Huyo anayeendesha taasisi dhaifu kwa mujibu wa Prof Asad? Huyo ni mganga njaa tu, huko kwenye jimbo lake la uchaguzi ni aibu tupu
 
NDU NDUGAI NI MNAFIKI KUPINDUKIA
 
Uongo ukisemwa sana mwishoni huonekana kuwa ni ukweli. Hata kama hoja zao zikiwa zina kaukweli ukweli , maana hatujui bado utata ni mwingi kila mtu anavutia ngozi kwake, lakini tuangalie their major goal! Lengo lao sio.zuri, wote tunawajua nia zao, team mizoga , lengo kuu nyuma yao ni kujenga ufalme wao wakifisadi nchi hii!
Tumeshasikia kauli zao kuwa ccm ina wenyewe n.k tunawajua vizuri team mizoga, tusiwakubalie kamwe!!!!!
Tusikae kimya hilo ni kosa kubwa, maneno huumba, watafanikiwa kuwadanganya watu hawa waovu tutakuja kujuta hapo 2025.
Tusiangalie wasifu wa mtu , hapa sio swala la polepole ni nani wala ndugai ana sifa gani, hapa ni swala la misingi, misimamo, heshima na mustakabali wa taifa hili. Tutafute muafaka wa matatizo yetu bila kuruhusu matatizo yetu kutumiwa na mafisadi wa ndani Tanzania kutupiga mnada watanzania ili wao wajenge falme zao. Nadhani mmesahau kuwa watemi wa zamani walikuwa wao ndio wanaowauzia waarabu na wazungu watumwa kabla wakoloni hao hawajanogewa na kuanza kupora watu kwa nguvu. Hawa hawatabaki salama ila wao wataumia baadae sana wakati wameshatumaliza sisi iwapo hatutachukua hatua,

NDUGAI KASHAWAONYA , MSIJEKUSEMA HAMKUAMBIWA.
 
Jimboni kwenu kumeendelea? Hakuna umaskini?
Wewe mtoto wa kike ata kama unachakatwa makalio na huyo muheshimiwa, tumia akili kidogo. Huyo mtu kasoma chuo cha wanyama pori anakuja kutuambia mambo ya uchumi. kwel?
 
Kwa mara ya kwanza Ayoub ameonesha msimamo wa Bunge kama Mhimili huru unaojitegemea [emoji123]

Super kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…