Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa kubwa ya matajiri ni kukopa na kukopesheka, ukiona huna uwezo wa kukopa popote na hukopesheki basi wewe ni maskini wa kutupa na huaminiki
Job Ndugai ana point ya msingi, Serikali inatakiwa kuja na majibu.Ndugai yeye ana hoji kuhusu tozo tulizokubaliana zijenge madarasa imekuwaje tunakopa tena?
Job Ndugai ana point ya msingi, Serikali inatakiwa kuja na majibu.
Nashauri Ndugai aongezewe ulinzi asije akafanyiwa kama Tundu Lissu na watu BASHITE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio wasomi, tatizo ni mfumo wa elim inayotolewa Tanzania.. Elimu enyewe ya kizungu. Ngoja tuone mwisho wetu ni upiSpika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.
Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.
Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
=====
UPDATES;
=====
=> Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.
=> Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane hapa tujenge wenyewe bila madeni Makubwa yasiyoeleweka? Ni lini tutajenga wenyewe?
=> Tutembeze bakuri ndo heshima? na tukishakopa tunapiga makofi! Sisi wa kukopa kila siku?
=> Tukasema pitisha Tozo, anayetaka asiyetaka, pitisha Tozo. Lazima tuanze kujenga wenyewe. Nani atatufanyia? Yupo wapi huyo Mjomba? Tukapitisha Tozo.
=> Sasa 2025 itaamua. Mkitoa waliopo sawa. Waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa endepo hiyo ndo namna ya kuendesha Nchi.
=> Hivi sasa deni letu ni 70 Trilioni. Hivi ninyi si Wasomi? Is that healthy? Kuna siku nyi itapigwa mnada hii. Madeni Madeni Madeni
=> Bajeti yetu Trilioni 30, Trilioni 10 kati ya hizo kwa Mwaka tunalipa Madeni.
=> Tumeenda Kukopa 1.3 Trilioni, Tunapiga Makofi. Tunawapa Wazungu Trilioni 10 Mariba Matupu. Wanatufanya Sisi Mazezeta. Hela yako Mwenyewe. Anachukua hela yako, halafu anakupa Kidogo Unashangilia.
=> Toza fanya hivi, tujitegemee, Tusimame wenyewe. Kuna ubaya gani? Hata msomi anatupinga.
View attachment 2060338
Wazalendo wasiposimama kushindana na hoja zenu mnaotaka nchi ipigwe mnada , maneno ya Ndugai yatatimia,Huyo Ndugai ni aibu kwa taifa. Ukweli lazima usemwe, awamu ya tano ilikopa kwenye mabenki ya biashara na kutudanganya miradi inalipwa kwa pesa za ndani. Huyu mama ana hekima sana, ni mama wa taifa, aungwe mkono
Huyo anayeendesha taasisi dhaifu kwa mujibu wa Prof Asad? Huyo ni mganga njaa tu, huko kwenye jimbo lake la uchaguzi ni aibu tupuWazalendo wasiposimama kushindana na hoja zenu mnaotaka nchi ipigwe mnada , maneno ya Ndugai yatatimia,
NDUGAI NI MNAFIKI KUPINDUKIANilikuwa najiuliza , ni fedheha ya namna gani hii tuliyopata nchi hii , yaani kwa miaka mitano tukatengeneza heshima kubwa katika taifa hili kwa namna ya miujiza kweli. Mataifa yote yakatishangaa jinsi tulivyoonesha misimamo . Kiasi kwamba hata alipofariki jamaa nusu ya ulimwengu walifuatilia jambo lile!!!
Baada ya miezi sita tu misimamo yote ilkavurugwa hadharani peupe, mbele ya ulimwengu wote bila ya aibu.! Mpaka ile ambayo inajulikana kuwa ni misimamo ya kimaadili ya taifa hili kulingana na utamaduni wetu wa maisha yote. Tena aliyeisimamia akatukanwa hafharani ili kuwafurahisha hao mabeberu , kama vile mkeo anapoambiwa akutukane na mchepuko wake wakati wamenogewa!!!!
Hii kwa kweli imekuwa ni aibu na fedheha kubwa kwa watanzania wote tuliokuwa tunajua sasa heshima yetu imerudi ulimwenguni!! Kwa kweli imekuwa ni fedheha kubwa na nilikuwa najiuliza wazee hawa na mbupu zao waliokulia katika maadili ya mababu wanakubalije upuuzi mkubwa namna hii!!! Wazee ambao bado wapo, wengine walikuwepo wakati wa uhuru, wengine walipigana vita ya kagera, wazee walioivishwa ndani ya azimio la arusha katika uzalendo wa kweli, wanakubalije misingi ya heahima ya taifa hili inadhalilishwa mchana peupe mbele ya ulimwengu mzima?????
Hii sio Tanzania iliyokombolewa chini ya uongozi wa mwalimu JK ! Na haya sio maadili aliyotuachia baba yetu JK hata ukisikiliza wosia wake leo hii utalielewa hilo.
Ndugai umetukonga moyo watanzania. Mi nilijua kuwa ni swala la muda tu, nilijua pia kuwa haiwezekani polepole awe peke yake kwenye hili, wajinga wanafikiri hivyo.
Najua wazee mpo ila busara zenu ndio ziliwafanya mtulie kwanza msiba uishe , tuanue matanga. Ni tofauti na hao vichaa, ambao msiba haujaisha kwa uchu , chuki, na tamaa za kifisadi wakaanza vurugu mbele ya dunia nzima. Hakika wamezidi kulidhalilisha taifa la Nyerere.!!!!!!
Lakini kwa kuwa sasa matanga yameisha, naona wazee mmeanza kutuma wajumbe wenu , hakika watanzania tumewaelewa wazee na tupo tayari kuitetea heahima ya taifa letu hili.
Tupo tayari, andaeni nondo za maana za kuwatwangia mafisadi hawa , ngoma ya watoto haikeshi, hawana baraka za wazee hao. TUANDALIENI VIJANA WALIOKATAA UPUMBAVU WAO , VIJANA WANAOPENDA UZALENDO, ILI WAPOKEE MADARAKA 2025.
Ndugai na wazee mmeanza kutukonga moyo.........VIVA !!!!!!!
Polepole, Mangula na wengine; wakati ndio huu
Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili; ninaomba tushirikiane kwa pamoja kuangalia jambo hili kutoka pande mbalimbali na kuona kama linaweza kuwa ni uamuzi sahihi kwa majira haya ambayo taifa letu limefikia sasa. Wote tunakubaliana kuwa kila jambo huwa na mwisho wake na historia inajengwa na...www.jamiiforums.com
Jimboni kwenu kumeendelea? Hakuna umaskini?Huyo anayeendesha taasisi dhaifu kwa mujibu wa Prof Asad? Huyo ni mganga njaa tu, huko kwenye jimbo lake la uchaguzi ni aibu tupu
Wewe mtoto wa kike ata kama unachakatwa makalio na huyo muheshimiwa, tumia akili kidogo. Huyo mtu kasoma chuo cha wanyama pori anakuja kutuambia mambo ya uchumi. kwel?Jimboni kwenu kumeendelea? Hakuna umaskini?