Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Kwa mara ya kwanza Ayoub ameonesha msimamo wa Bunge kama Mhimili huru unaojitegemea [emoji123]

Super kabisa!
Huo msimamo kauonyesha wapi? Mwenzio huenda mwezi mchanga subiri pakuche aje kuomba radhi
 
Hayatuhusu. Pambaneni wenyewe.
 
Hata wewe ukiiga kelele inatosha. Ila kwasisi tulioumizwa na mwendazake akiwatumia kina Sirro, Kingai, Goodluck, Jumanne, Makonda na Sabaya tunahisi kama unatupiga kelele tu. Huwezi kututesa kwakisingizio cha uzalendo.
 
Mbona husemi tuandike katiba unaogopa nini?
 
Picha na maelezo kila kitu upande wake. Aliyeelewa vema anifafanulie.
 
Siku mkiacha kuita unafiki kuwa ni uzalendo angalau nitajaribu kuwasikiliza Joshua. Ila kwa huu upuuzi na uovu mlioufanya past 5 yrs na mnachotaka tuwaamini sasa umechemka. Ni zero kama Sirro
 
Pumbavu kabisa takataka ya Sukuma gang.

Muwahisheni huyo kichaa mwenzenu Milembe where he deserve.
 
Huyo Ndugai ni aibu kwa taifa. Ukweli lazima usemwe, awamu ya tano ilikopa kwenye mabenki ya biashara na kutudanganya miradi inalipwa kwa pesa za ndani. Huyu mama ana hekima sana, ni mama wa taifa, aungwe mkono
Sawasawa..
 
Kuna watu hawaamini kuna maisha nje ya ccm kila siku ni kuja hapa kulia lia tu,

tuandike katiba mpya ambayo itakuwa tume huru, kama kuna wahuni automatically tutawaondosha kwa katiba
 
Tunatoana roho kwa Mali alizoacha baba
 
Tulieni na mvumiliane huko ndani ya chama. Maisha ni kuvumilia
 
Matatizo yanayoikabili Tanzania ni Maradhi,Ujinga,Umasikini na la nne ni " fitina na unafiki".
Maadui kwa sasa ni wanne sio watatu
 
So wewe ni sukuma gang?
 
Ukweli ni kwamba
1.Tusikope bila kuchukua tahadhari.
2. Tusikope ili kujenga matundu ya vyoo.
Hata katika individual level tu, huwezi kwenda benki kuchukua mkopo ili kujenga choo.
Hata ukichukua mkopo wa kujenga nyumba ya kuishi, isiyokuwa ya kibiashara, lazima uishie kuwa stagnant kiuchumi.
Madhara ya mikopo iliyopita kiasi ni wakopeshaji wa kimataifa baada ya deni lako kuwa kubwq, watakuja na masharti kama vile;
1. Binafsisha(Uza) shirika la ndege ATCL tulilolifufua kwa gharama kubwa kisa tu watasema kwa sababu linajiendesha kwa hasara. Wape sekta binafsi wafanye reforms.
2. Binafsisha(Uza) shirika la simu TTCL kwa sababu lina Ukwasi hasi. Binafsisha ili lipate mtaji kutoka private sector.
3. Binafsisha(uza) reli na miundo mbinu yake, matreni nk kwa kuwa linajiendesha kwa kusua sua. Sekta binafsi wataboresha uendeshaji na kuleta technolojia mpya.
4. Uza shirika la Umeme, TANESCO kwa wazalishaji binafsi ya umeme kwa sababu uendeshaji wake unasuasua na linazidi kulikamua serikali na hivyo kushindwa kurejesha mikopo yake kwa wakati.
5 Futilia mbali baadhi ya Taasisi za umma ili kuipunguzia serikali mzigo.
4. Punguza enrollment katika vyuo vikuu ni kupunguza mzigo wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Watakuambia pandisha ngazi ya kufaulu kwenda chuo kikuu. Anzisha private financed students programme katika vyuo vikuu.
5. Watakuambia ongeza adda ya vyuo vikuu, vijiendeshe bila kutegeme ruzuku hata kidogo kutoka serikalini.
6. Watakuambia punguza baadhi ya halmashauri.
7 Watakuambia usianzishe maeneo mapya ya utawala.
8. Watakuambia baadhi ya barabara zianze kulipiwa kama tunavyolipua daraja la kigamboni.
9. Watakuambia jitoe katika baadhi ya mashirikiano ya kikanda ili ile ada tunayolipa itumike kuserve debt. Hapa tutaambiwa tuchague moja kati ya SADC au SADC au Great Lakes region
10. Watakuambia punguza watumishi katika sekta ya umma. Watakuambia sehemu ya makusanyo unatumia kulipa mishahara.
11. Watakuambia uza baadhi ya hospitali za rufaa.
12. Watakuambia uwape msamaha wa kidi wawekezaji ili waje kwa wingi baada ya muda waanze kulipa kodi upate mapato.
13.....


Na mengine mengi.

Cha muhimu tukope kwa tahadhari.
 
Huo msimamo kauonyesha wapi? Mwenzio huenda mwezi mchanga subiri pakuche aje kuomba radhi


Mwalimu aliwahi kusema ;

“Upinzani wa kweli utatoka ndani ya chama cha kijani”

Ulielewaje hapo?
 
Kwa mara ya kwanza Ayoub ameonesha msimamo wa Bunge kama Mhimili huru unaojitegemea [emoji123]

Super kabisa!
Hana lolote zaidi ya uchonganishi tu.
Ameongea hivyo aonekane mwema kwa wanyonge huku akijua hana chakupoteza kuelekea kustaafu 2025.
Angekuwa awamu ya kwanza uspika hangeropoka hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…