Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Hivi unilipwa shilingi ngapi!??
 

Yaaani MUNGU tuu atusaidie hiyo 1.3T yao inawwza Kutupa Masharti Ambayo wengi hawayapendi...Basi tuu kama Kuchanja naniliii...
Taifa Linatakiwa Kumlilia MUNGU siku zote[emoji1666][emoji120]
 
"....nimekosa nimekosa sanaaa......"
Kwendraaa
 
Nimekosa mimi, nimekosa sana... nimekosa mimi.....
 
Na ya vikao vya serikali kuhamia Dar badala ya Dom. Wanafunzi kuzuiwa kusoma tuition? Au nayo alirekodiwa vibaya?
 
Kumbukumbu ikuje hapo jirani zake mpwampwa hakuna LAMI! Hivi kwi TOZU itatosha kulamisha ????? Au mbwebwe tu!Kama kudemka basi RWANTANG umedemka vibaya Duh!!! 1. Omba radhi
2.Jitafakari
 
Aliyekopa fedha nyingi kuliko wote ni magufuli.

Marehemu pombe ameacha matatizo mengi sana katika hii nchi sababu ya ushamba wake
JPM kama kukopa alikopa humu ndani ya nchi si kule ulaya, world bank na IMF alikuwa hakubaliki
 
Sasa huko jikoni kushachafuka. Kitumbua kishaingia mchanga.

Ngoja watoto washinde njaa tuone tutafikishana wapi
 
Ndungai anajifanya yeye ndiyo kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.
Yatamkuta tu, utaona machawa wa mamlaka ya uteuzi watakavyomgawana.

Utaona tu very soon

Season 3 si ishaanza ? Acha director aangushe episode 01 watataftana huku nakuambia
 
Mama aachane na mzimu wa mtangulizi apambane na ukurasa wake.
Anauachaje wakati kaamua vita iendelee ? Ngoja tulete kuni jikoni moto uendelee kuwaka. Kwani moto ukimchoma mmoja wapo tukisikia kelele sisi ni kunukuu tu
 
Kumbe hata ccm wanajua deni sio himilivu ? Ngoja wapigane spana kwanza. Sisi yetu macho
 
Apelekwe mahakamani akatueleze bilioni 12 za matibabu zilitumikaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…