Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Hii lazima iwe attached na evidence..., 100 SUV's if this is the case, then not something but everything is wrong everywhere....
Mkuu hela zinatumika kwa mambo ambayo yanaweza kufanywa bila hizo convoy
Ubadhirifu wa hela tu bila kujua hizo hela zingejenga hata VYOO wanavyolalamika kila siku mashuleni

Why they are doing this
 
mambo ni bambam! acheni kukata miti maji mto ruvu yamepungua
 
Mikopo ya almost trillion 4 ndani ya week 1 tu ila ujenzi wa NHPP hauendelei sababu hela hamna, ujenzi wa matofali kwenye zahanati na mashule hauwezi fikia hata 100B hadi sasa. Hizo ni za kubrainwash wapuuzi kuwa kazi inafanyika.
 
Nchi itanuka mikopo hii ngoja tu tuone maajabu, Wakati Ruto kasema hatokopa wajenge uchumi wao, mikopo hukufanya uwe mtumwa
 
Tuanze na Nchi zinazoidai Tanzania
View attachment 2406693
Hao Spain walitukopesha milioni 44 kwa ajili ya nini? πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…