Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Apaze sauti asikike kama alivyopaza kuhusu nchi kikopaNdugai anahitaji katiba mpya kuliko mtu yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apaze sauti asikike kama alivyopaza kuhusu nchi kikopaNdugai anahitaji katiba mpya kuliko mtu yoyote
AtafukuzwaApaze sauti asikike kama alivyopaza kuhusu nchi kikopa
Hii lazima iwe attached na evidence..., 100 SUV's if this is the case, then not something but everything is wrong everywhere....
Mkuu hela zinatumika kwa mambo ambayo yanaweza kufanywa bila hizo convoyHii lazima iwe attached na evidence..., 100 SUV's if this is the case, then not something but everything is wrong everywhere....
Mikopo ya almost trillion 4 ndani ya week 1 tu ila ujenzi wa NHPP hauendelei sababu hela hamna, ujenzi wa matofali kwenye zahanati na mashule hauwezi fikia hata 100B hadi sasa. Hizo ni za kubrainwash wapuuzi kuwa kazi inafanyika.Uingereza kuikopesha Tanzania Shilingi Bil.980 za TEHAMA
Wakuu habari za michakato.. Serikali ya Tanzania imepanga kukopa Shilingi Bilioni 980 kwa ajili ya mradi wa kuendeleza sekta ya TEHAMA.. Makubaliano hayo yalifikiwa Nchini Uingereza na Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba. Ikumbukwe Wiki iliyopita Waziri Mkuu alikuwa Korea Kusini ambako...www.jamiiforums.com
This is just sadTumalizie Benki za kimataifa Zinazoidai Tanzania
View attachment 2406698
Tuanze na Nchi zinazoidai Tanzania
View attachment 2406693
Tuje Taasis Za kimataifa zinazoidai Tanzania
View attachment 2406697
Inaonekana haya madeni yote ni ya enzi ya mwendazake? Naona 2020/21?Tumalizie Benki za kimataifa Zinazoidai Tanzania
View attachment 2406698
Hii lazima iwe attached na evidence..., 100 SUV's if this is the case, then not something but everything is wrong everywhere....
Hao Spain walitukopesha milioni 44 kwa ajili ya nini? 😃😂😂Tuanze na Nchi zinazoidai Tanzania
View attachment 2406693