Ccm mtatafutana mchawi sana....huyo Magufuli alikuwa wa chama gani vile..!?Aliyekopa fedha nyingi kuliko wote ni magufuli.
Marehemu pombe ameacha matatizo mengi sana katika hii nchi sababu ya ushamba wake
Nimecheka Sana hii nukuu yako,,,na CAG akitaka kumkagua anakuwa mkali balaaKati ya hizo pesa bilion 26 na ushee zilitumika kumtibia India.. BILLION 26 kwa kichwa kimoja na kumfanya kuwa mgonjwa ghali zaidi duniani
Yes it is itDah! Hapo ndiyo mimi nachoka kabisa na viongozi wetu, Mh Spika kasema hivyo kweli! Sheria zote zinatungwa pale kwenye Bunge letu tukufu na yeye ndiye kiongozi wa huo mhimili……. this is it.
Nafikiri Ndugai kapata karipio/vitisho baada ya malalamiko yake ya awali.Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.
Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.
Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
View attachment 2060237
Ngumu, hawezi kwenda kinyume na matakwa ya atakayemuweka (m/kiti wa chama chake).Next time tunahitaji Magufuli aingie bungeni sasa ili kuondoa upuuzi! Naimani Bunge likiwa na mtu strong hata raisi kufanya upuuzi ni ngumu
Ni hatari sana kwa kiongozi mkubwa kama huyu mwenye madaraka makubwa na ukaribu na watawala kuanza kulalamika kama wanywa kahawa wa vijiweni. Mbona kauli hii inaogopesha?Sasa ingekuwa ni wenzake wameyaongea hayo...
Ungesikia tu haraka Mgalilaya kajitokeza kutoa wito wa kukamtwa na kupelekwa haraka bungeni kuhojiwa
Hakika ✔️Tunataka katibampya
Ili haya Mambo ya hovyo yasijurudie
La sivyo nchi itaenda shimon
Sawa ni bora kuwa Mnafiki ambaye mara moja moja unasema ukweli kuliko Wanafiki wanaopiga makofi tu mpaka wanakufa ili hali Nchi inaangamia.Kipindi hayo yote yanafanyika ndungai alikuwa Bado hajawa spika wa bunge? Ccm ni wanafiki wazandiki maguluguja.uzuli ni kwamba bunge lote ni kijani wananchi tunajua Kila kitu.
Wewe spika washughulikie ndani ya bunge mimi nitawashughulikia nje ya Bunge. Ndipo akawa anawafukuza bungeni yule mwenzie anawatandika nje ya bunge. Anadhani tumesahau. Huyu akae kimya tu.Miongoni mwa mtu ambaye hana la maana nchi hii ni Job. Yeye akae kimya kabisa. Wakati wa mwendazake alishiriki jinai zote mpaka zingine ambazo hata mwendazake alishangaa. Job hajui kwamba yuko na wabunge ndani ya bunge lake ambao hawana chama? Hili kwake yeye anaona ni sawa? Job ni sehemu ya watu wa hivyo ambao wameliharibu sana taifa hili na uongozi wake.