Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
Angalieni hoja yake. Hata kama humkubali Ndugai, lkn angalia hoja yake, sio kukimbilia kusema anamchukia SSH. Huko ni kukosa akili za kutafakari jambo. Tutakuwa kizazi cha umbeya hadi lini?Baada ya bibi hangaya kuzindua likamati ambalo kazi zake hazijulikani subwoofer amekasirika kwani hilo likamati litakuwa linafanya baadhi ya kazi za Bunge lake.
Yaani subwoofer amekasirika sana kwani inadhihirisha kweli bunge lake ni dhaifu hata kwa bi hangaya
Kwanini tusitafakari hoja alioisema juu ya kukopa kwa ajili ya kujenga matundu ya vyoo?