Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Baada ya bibi hangaya kuzindua likamati ambalo kazi zake hazijulikani subwoofer amekasirika kwani hilo likamati litakuwa linafanya baadhi ya kazi za Bunge lake.
Yaani subwoofer amekasirika sana kwani inadhihirisha kweli bunge lake ni dhaifu hata kwa bi hangaya

Angalieni hoja yake. Hata kama humkubali Ndugai, lkn angalia hoja yake, sio kukimbilia kusema anamchukia SSH. Huko ni kukosa akili za kutafakari jambo. Tutakuwa kizazi cha umbeya hadi lini?
Kwanini tusitafakari hoja alioisema juu ya kukopa kwa ajili ya kujenga matundu ya vyoo?
 
Huyu mama hajui kubana matumizi.
Hatofautishi kuwa mwanaharakati na kuwa rais,yeye kila kukicha 50/50.Marekani wenyewe imewashindwa wewe utaweza bi Tozo?
 
Leo nimeamini kwamba Tanzania kuna ombwe la uongozi. Hivi huyu si ni miongoni mwa viongozi wetu? Si huyu alikuwa kimya wakati wananchi wanadhalilishwa na yeye akafanya kejeli?Si huyu alimnyima mpinzani mmoja haki zake kwa kutetea umma? Si huyu alinyamaza kimya wakati serikali inakopa na tukidanganywa tunajenga na kumunua kila kitu kwa pesa taslimu hadi ndege! Si aseme tu kwamba hii ni kwasababu usukani uko mikononi kwa mama? Hivi siku hizi uko wapi uwajibikaji wa pamoja? Eti 2025 mchagueni tena tuone. Ila mama yupo na wala hakujiweka mwenyewe. Ni katiba iliyotungwa na watu kama Ndugai ambaye leo anajifanya amesahau. Watu wanamuona na wala hatoki ikiwa kuna lawama. Ni yeye na wenzake.

Ndio tulipofikia hapo
 
Hangaya akiendelea kuwepo na kutaka kutawaka si ajabu akawepo na rais hajaye baada ya Hangaya akawa Mzanzibar wakaendelea kulithishana, watakuja kustuka sekta zote za juu wamejaa wazanzibar
Na Nchemba kakalia gunia la misumari huyo mzanzibari naibu ndo chaguo la Hangaya.
 
Angalieni hoja yake. Hata kama humkubali Ndugai, lkn angalia hoja yake, sio kukimbilia kusema anamchukia SSH. Huko ni kukosa akili za kutafakari jambo. Tutakuwa kizazi cha umbeya hadi lini?
Kwanini tusitafakari hoja alioisema juu ya kukopa kwa ajili ya kujenga matundu ya vyoo?

Mkuu hoja yake kuhusu nchi hii kwa miaka 60 ccm imesababisha deni la tirion 70 ni hoja nyeti sana
Hawa ccm waihurumie hii nchi hata kidogo.
ILa Mimi naishangaa hii kamati ya nini? Au ndio mkakati wake wa kutengeneza mfumo jike kwa kodi za wananchi

Halafu huyo ndugai pia ajue wale covid wake19 watakuja mtokea puani
 
Tulishasema hatuna bunge.
CCM mtusaidie kuwa na Spika asiye mnafiki.
Policcm mtamuhoji lini huyu analeta taharuki.
Pesa alizotibiwa India hakujua kama za mikopo
 
JPM alikopa sh ngapi?
Halafu mama naye anazidi kukopa tu
Cheki hapa
IMG_20211228_102326.jpg
 
Back
Top Bottom