Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Ndugai anapaswa kujua kwamba kama angesimama imara Magufuli asingethubutu kukopa fedha halafu akaendelea kuuhadaa umma kwamba tunatumia fedha zetu za ndani.

Udhaifu wa Ndugai ndiyo umepelekea taifa kufika hapa lilipo. Bunge chini ya Ndugai lilimuacha Magufuli akaongoza nchi kama vile anaongoza familia yake na sasa kila kitu kimeharibika.
Acha uongo wewe ndio unakopa fedha,
 
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.

Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.

Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?

=====

UPDATES;

=====

=> Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.

=> Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane hapa tujenge wenyewe bila madeni Makubwa yasiyoeleweka? Ni lini tutajenga wenyewe?

=> Tutembeze bakuri ndo heshima? na tukishakopa tunapiga makofi! Sisi wa kukopa kila siku?

=> Tukasema pitisha Tozo, anayetaka asiyetaka, pitisha Tozo. Lazima tuanze kujenga wenyewe. Nani atatufanyia? Yupo wapi huyo Mjomba? Tukapitisha Tozo.

=> Sasa 2025 itaamua. Mkitoa waliopo sawa. Waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa endepo hiyo ndo namna ya kuendesha Nchi.

=> Hivi sasa deni letu ni 70 Trilioni. Hivi ninyi si Wasomi? Is that healthy? Kuna siku nyi itapigwa mnada hii. Madeni Madeni Madeni

=> Bajeti yetu Trilioni 30, Trilioni 10 kati ya hizo kwa Mwaka tunalipa Madeni.

=> Tumeenda Kukopa 1.3 Trilioni, Tunapiga Makofi. Tunawapa Wazungu Trilioni 10 Mariba Matupu. Wanatufanya Sisi Mazezeta. Hela yako Mwenyewe. Anachukua hela yako, halafu anakupa Kidogo Unashangilia.

=> Toza fanya hivi, tujitegemee, Tusimame wenyewe. Kuna ubaya gani? Hata msomi anatupinga.
View attachment 2060338
Umesema 2025 eti tutaonana? Nikupe taarifa msimamizi wa uchaguzi ni Dr Mahera na Jecha. Hawa ndio nguzo ya CCM.
 
Siamini kama Ndugai anaweza kuzungumza haya maneno.

Kwa hiyo sasa ndio anakili Bunge ni Dhaifu.
Mbona alipoambiwa alighadhibika Sana.
Mbona wakati wa Magu alikuwa hazingumzi hivi.
Si alikuwa anaimba Bungeni kuwa atake asitake atawale milele.
Bunge lilikuwa wapi hadi lisiishauri serikali.
Kwanini asichukue hatua za Kibunge wakati huu.
Maswali ni mengi sana.

Kwa kweli sasa CCM inaelekea mwisho kabisa !
 
Ni hatari sana kwa kiongozi mkubwa kama huyu mwenye madaraka makubwa na ukaribu na watawala kuanza kulalamika kama wanywa kahawa wa vijiweni. Mbona kauli hii inaogopesha?
He is not fine in his brain,sijawahi mwelewa huyu ndugai,huwa anakauli za kiutata utata sana,.
 
Kweli hili Bunge ni kibogoyo!Analalamika badala ya kuongoza Bunge kuibana serikali kwenye ukopaji!!
 
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.

Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.

Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?

=====

UPDATES;

=====

=> Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.

=> Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane hapa tujenge wenyewe bila madeni Makubwa yasiyoeleweka? Ni lini tutajenga wenyewe?

=> Tutembeze bakuri ndo heshima? na tukishakopa tunapiga makofi! Sisi wa kukopa kila siku?

=> Tukasema pitisha Tozo, anayetaka asiyetaka, pitisha Tozo. Lazima tuanze kujenga wenyewe. Nani atatufanyia? Yupo wapi huyo Mjomba? Tukapitisha Tozo.

=> Sasa 2025 itaamua. Mkitoa waliopo sawa. Waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa endepo hiyo ndo namna ya kuendesha Nchi.

=> Hivi sasa deni letu ni 70 Trilioni. Hivi ninyi si Wasomi? Is that healthy? Kuna siku nyi itapigwa mnada hii. Madeni Madeni Madeni

=> Bajeti yetu Trilioni 30, Trilioni 10 kati ya hizo kwa Mwaka tunalipa Madeni.

=> Tumeenda Kukopa 1.3 Trilioni, Tunapiga Makofi. Tunawapa Wazungu Trilioni 10 Mariba Matupu. Wanatufanya Sisi Mazezeta. Hela yako Mwenyewe. Anachukua hela yako, halafu anakupa Kidogo Unashangilia.

=> Toza fanya hivi, tujitegemee, Tusimame wenyewe. Kuna ubaya gani? Hata msomi anatupinga.
View attachment 2060338
Tuliambiwa deni linavumilika. Sasa haya yanatoka wapi?
 
Angalieni hoja yake. Hata kama humkubali Ndugai, lkn angalia hoja yake, sio kukimbilia kusema anamchukia SSH. Huko ni kukosa akili za kutafakari jambo. Tutakuwa kizazi cha umbeya hadi lini?
Kwanini tusitafakari hoja alioisema juu ya kukopa kwa ajili ya kujenga matundu ya vyoo?
Tatizo Huyu zuzu Ndugai hana utamaduni wa kuunga mkono hoja zenye mashiko za wengine, Ndugai ni Mendel tu, he has a valid point but tayari alishatengwa na kujitenga.
 
Hajaongea kama analaumu,ameongea kuonyesha kwamba serikali huwa inalazimika kukopa kwa sababu Haina namna nyingine ya kuweza kugharamia maendeleo,
Na anaonyesha jinsi bunge lilivyokuwa kwenye wakati mgumu wa kupitisha
Hio ni mtazamo wako pia tazama hoja ya Kwani nini tozo? dokezo la tozo waziri wa fedha alilenga kukabili nini? Hoja ngumu ya Ndugai ni kwamba serikali ilidanganya Bunge kuwa wanakuja na tozo ili kupunguza kukopa na mzigo wa madeni, hoja ingine iweje tozo iliainishwa kutumika kujenga madarasa na mkopo wa covid19 nao matumizi iwe kujenga madarasa? Ni akili za kipumbavu unapambania mtikisiko wa uchumi kwa kukopa ili ujenge madarasa. Tanzania imejaa wapumbavu sana.
 
Kwahiyo anamdharau mama kwenda kukopa ama?
Analalamikia uongo hasa sababu za kuja na tozo wakati tozo inaendelea wanatumia pesa ya mkopo kujenga madarasa wakati hoja ya tozo ni pamoja na kujengea madarasa, Bunge limedanganywa na hawatafaidi pesa ya mkopo wa covid19 tofauti n.a. Uganda ambako wabunge walipewa mgao wa covid n.a. M7
 
Nchi ya malalamiko kwanzia ngazi kijiji mpaka taifa hiyo ndoo tz
 
Ndugai leo hii kawa mpinzani!!! dunia inaenda kasi sana.
Huyu si aliufyata enzi za Nzilankende, au kwa kuwa maza siyo mbabe kama jiwe.
 
Nchi nyingi dunniani.na hata wataalamu wa fedha wanakubaliana kwamba..kwenye uwezekano wa kukopa mkopo ulio ndani ya uwezo wako wa kuulipa..i mean equity na debt ratio iko positive..ni vizuri ukakopa.but nchi hii chini ya uongozi wa mtu yule waliona sifa kununua ndege kwa kulipa cash..yanii alitoa cash ndani zilipokuwa zinahitajika sana akalipa nje kununua ndege ambazo return yake on investment haijajulikana ni lini.akakataa kuajiri watu hata madr.akanyima watu nyongeza ya mshahara..akaua watu..akaiba fedha.yote haya yalifanyika ndugai na wasomi wetu walikuwepo na wakishangilia..leo wanageuka na kutoa kauli hizi..
 
Back
Top Bottom