SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Agombee tu, kuna kura nyingi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😭😭😭😭😭😭😭😭✊Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.
Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.
Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
=====
UPDATES;
=====
=> Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.
=> Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane hapa tujenge wenyewe bila madeni Makubwa yasiyoeleweka? Ni lini tutajenga wenyewe?
=> Tutembeze bakuri ndo heshima? na tukishakopa tunapiga makofi! Sisi wa kukopa kila siku?
=> Tukasema pitisha Tozo, anayetaka asiyetaka, pitisha Tozo. Lazima tuanze kujenga wenyewe. Nani atatufanyia? Yupo wapi huyo Mjomba? Tukapitisha Tozo.
=> Sasa 2025 itaamua. Mkitoa waliopo sawa. Waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa endepo hiyo ndo namna ya kuendesha Nchi.
=> Hivi sasa deni letu ni 70 Trilioni. Hivi ninyi si Wasomi? Is that healthy? Kuna siku nyi itapigwa mnada hii. Madeni Madeni Madeni
=> Bajeti yetu Trilioni 30, Trilioni 10 kati ya hizo kwa Mwaka tunalipa Madeni.
=> Tumeenda Kukopa 1.3 Trilioni, Tunapiga Makofi. Tunawapa Wazungu Trilioni 10 Mariba Matupu. Wanatufanya Sisi Mazezeta. Hela yako Mwenyewe. Anachukua hela yako, halafu anakupa Kidogo Unashangilia.
=> Toza fanya hivi, tujitegemee, Tusimame wenyewe. Kuna ubaya gani? Hata msomi anatupinga.
View attachment 2060338
Zaidi, soma: Thread 'Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏' News Alert: - Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏
Minada ishaanzaAlikua Na kitu
Nasubiri mkataba wa kuuza mlima Kilimanjaro tuwape Wachina au jirani zetu Kenya wauendeshe kwa ufanisi.Minada ishaanza
Si tayari limeshatolewa ufafanuzi hili jambo..!
www.jamiiforums.com
TISS wapo bize lutafuta kinga ya kutoshtakiwa.Hakika uliona mbali kitega uchumi kikuu Cha nchi kinauzwa kukodisha bandari kwa miaka 100 n sawa na kuuza Mali hyo ya nchi
Miaka 100 si samia Wala mm atakayekuepo dunian
Hakika magufuli aliposema magufuli makaburi yetu yatacharazwa bakora na wajukuu zetu Wala hakukosea
TISS Kaz yenu kuwafuatilia wapinzan n s uchumi wa nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanauza vya Tanganyika tu ?Hakika uliona mbali kitega uchumi kikuu Cha nchi kinauzwa kukodisha bandari kwa miaka 100 ni sawa na kuuza mali hiyo ya nchi...
Ufafanuzi wa mashaka kwamba watatathinini kwa miezi 12 halafu miaka 100 ipo pale pale.Si tayari kama limeshatolewa ufafanuzi hili jambo..!
Kwani mikopo hiyo hiyo pia si ndiyo ilitupeleka Algeria? [emoji23][emoji23][emoji23]Mmeamua kufufua dude![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app