Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Uwe na uhakika pia wa mfumo wa Elimu uliotoa hizo 1st class degree maana zinaweza kuwa fake
 
Huyu Mzee kapotea kweli kweli - CCM si watu wazuri hata kidogo.
 
Back
Top Bottom