Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

Kwa nini anasema haya sasa??

Aliyasema hayo wakati akiwa bado kwenye mhimili.

Je, kauli yake ni relevant ama irrelevant? Kwa hali ya sasa nchini.

-Kaveli-
 
Vipi kuhusu 'brains' za awamu ya sasa?

-Kaveli-
Dhana ya "kazi iendelee" huifahamu? Maana ya ke ni very simpo, ni ilani iliyopo ni ahadi kwa wananchi, ni lazima ifatwe na ahadi kwa wananchi zitimizwe ndni ya muda muafaka.

Sikiliza kijana, Mwendazake alikuwa anafata sera za CCM to the dot, hayohayo ya CCM ndiyo wanayafanya Marais wote, zinazotofautiana ni namna ya management tu. Mwisho wa siku Mama Samia ni lazima afate sera za CCM kama walivyokuwa Marais waliopita.
 
Hoja ya Ndugai ni sahihi! Lakini hiyo haitoshi kama hao greater thinkers walio perform better kwenye academics walizopitia hawatakuwa wazalendo wa kweli wa nchi yetu! Tatizo kubwa kwa nchi za kiafrika ni kukosa uzalendo tu!
Kukosekana kwa uzalendo ndiyo maana mtu yuko tayari kuhongwa fedha ili asaini mikataba feki, ubadhilifu wa mali za umma, nk sasa hapo kuna uzalendo?
Na kwa nchi hii ukitaka kujifanya mzalendo utapigwa vita, na kuambiwa huo siyo utamaduni wetu.
 
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"

-Kaveli-

Hana hoja, mpeleke mwenye PhD ya biashara aka "negotiate" na mpeleke Bakheresa wa darasa la nne, basi utapata best deal kupitia Bakhresa kuliko huyo PhD.

Labda angeainisha "negotiation" ipi. Mimi nimechukulia neno "negotiation" kibiashara ndiyo maana nasema Ndugai hapo hana hoja.
 
Dhana ya "kazi iendelee" huifahamu? Maana ya ke ni very simpo, ni ilani iliyopo ni ahadi kwa wananchi, ni lazima ifatwe na ahadi kwa wananchi zitimizwe ndni ya muda muafaka.

Sikiliza kijana, Mwendazake alikuwa anafata sera za CCM to the dot, hayohayo ya CCM ndiyo wanayafanya Marais wote, zinazotofautiana ni namna ya management tu. Mwisho wa siku Mama Samia ni lazima afate sera za CCM kama walivyokuwa Marais waliopita.

You're Out of Point.

Swali lilikuwa kuhusu 'brains' wa awamu ya sasa, ili tuone utofauti wao dhidi ya brains wa mwendazake (kama ulivyo wamention kwenye post yako huko juu), in terms of performance & service delivery.

Faiza sijakuuliza kuhusu ilani ya CCM hapa, as I am highly familiar with the ilani from the scratch to bottom, word to word, para to para.

As such, my concern remains intact: vipi kuhusu 'brains' wa awamu ya sasa?

Wacha kuzunguka zunguka, usifikiri tunafanaya mitihani hapa. Hii ni 'social media", andika unachoongelea nini na niliyemtaja nani? Kuwa "specific".

Mimi nimemuongelea Bakhresa na "negotiation" za biashara. Sasa sikuelewi unachokipinga nini au unachokikubali nini?
 
Hana hoja, mpeleke mwenye PhD ya biashara aka "negotiate" na mpeleke Bakheresa wa darasa la nne, basi utapata best deal kupitia Bakhresa kuliko huyo PhD.

Labda angeainisha "negotiation" ipi. Mimi nimechukulia neno "negotiation" kibiashara ndiyo maana nasema Ndugai hapo hana hoja.

Sasa huyo 'negotiator' wa darasa la nne (mwenye biashara experience) ataweza vipi kuisoma na kuielewa vyema Business Agreement/Contract iliyoandikwa kwa kiingereza?

Kijana, maana ya "agreement" ni makubaliano. Kwanza mnaongea (negotiate) mnakubaliana kimaongezi (negotiations)halafu ndiyo yanakuja maandishi ya makubaliano, sasa hapo ndipo unapoweza kumweka mwanasheria, mhandisi, business administrator" na vikolombwezo vingine vyote, lakini siyo kwenye "negotiations" za biashara yenyewe.

Fikiri; kitandikwa nini kama hakuna makubaliano ya maongezi (negotitions)? Hewa?
 
Wacha kuzunguka zunguka, usifikiri tunafanaya mitihani hapa. Hii ni 'social media", andika unachoongelea nini na niliyemtaja nani? Kuwa "specific".

Mimi nimemuongelea Bakhresa na "negotiation" za biashara. Sasa sikuelewi unachokipinga nini au unachokikubali nini?

Yawezekana unasahau haraka.

IMG_20230814_125031.jpg

My question remains the same:

Vipi kuhusu 'brains' wa awamu ya sasa?

-Kaveli-
 
Kijana, maana ya "agreement" ni makubaliano. Kwanza mnaongea (negotiate) mnakubaliana kimaongezi (negotiations)halafu ndiyo yanakuja maandishi ya makubaliano, sasa hapo ndipo unapoweza kumweka mwanasheria, mhandisi, business administrator" na vikolombwezo vingine vyote, lakini siyo kwenye "negotiations" za biashara yenyewe.

Fikiri; kitandikwa nini kama hakuna makubaliano ya maongezi (negotitions)? Hewa?

Unamaanisha kwamba negotiator aweza kuwa mtu Y, halafu signatory akaja mtu X?

-Kaveli-
 
Unamaanisha kwamba negotiator aweza kuwa mtu Y, halafu signatory akaja mtu X?

-Kaveli-
Mimi nimemuongelea Bakhresa na "negotiation" za biashara. Sasa sikuelewi unachokipinga nini au unachokikubali nini?
 
Kuna umuhimu wa kuwaandaa hao watu; wale wenye ufaulu mzuri wapewe mafunzo maalumu; lakini hii itategemea sera na sheria kama zinaelekeza kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom