Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhana ya "kazi iendelee" huifahamu? Maana ya ke ni very simpo, ni ilani iliyopo ni ahadi kwa wananchi, ni lazima ifatwe na ahadi kwa wananchi zitimizwe ndni ya muda muafaka.Vipi kuhusu 'brains' za awamu ya sasa?
-Kaveli-
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
Dhana ya "kazi iendelee" huifahamu? Maana ya ke ni very simpo, ni ilani iliyopo ni ahadi kwa wananchi, ni lazima ifatwe na ahadi kwa wananchi zitimizwe ndni ya muda muafaka.
Sikiliza kijana, Mwendazake alikuwa anafata sera za CCM to the dot, hayohayo ya CCM ndiyo wanayafanya Marais wote, zinazotofautiana ni namna ya management tu. Mwisho wa siku Mama Samia ni lazima afate sera za CCM kama walivyokuwa Marais waliopita.
Wacha kuzunguka zunguka, usifikiri tunafanaya mitihani hapa. Hii ni 'social media", andika unachoongelea nini na niliyemtaja nani? Kuwa "specific".You're Out of Point.
Swali lilikuwa kuhusu 'brains' wa awamu ya sasa, ili tuone utofauti wao dhidi ya brains wa mwendazake (kama ulivyo wamention kwenye post yako huko juu), in terms of performance & service delivery.
Faiza sijakuuliza kuhusu ilani ya CCM hapa, as I am highly familiar with the ilani from the scratch to bottom, word to word, para to para.
As such, my concern remains intact: vipi kuhusu 'brains' wa awamu ya sasa?
-Kaveli-
Hana hoja, mpeleke mwenye PhD ya biashara aka "negotiate" na mpeleke Bakheresa wa darasa la nne, basi utapata best deal kupitia Bakhresa kuliko huyo PhD.
Labda angeainisha "negotiation" ipi. Mimi nimechukulia neno "negotiation" kibiashara ndiyo maana nasema Ndugai hapo hana hoja.
Kijana, maana ya "agreement" ni makubaliano. Kwanza mnaongea (negotiate) mnakubaliana kimaongezi (negotiations)halafu ndiyo yanakuja maandishi ya makubaliano, sasa hapo ndipo unapoweza kumweka mwanasheria, mhandisi, business administrator" na vikolombwezo vingine vyote, lakini siyo kwenye "negotiations" za biashara yenyewe.Sasa huyo 'negotiator' wa darasa la nne (mwenye biashara experience) ataweza vipi kuisoma na kuielewa vyema Business Agreement/Contract iliyoandikwa kwa kiingereza?
-Kaveli-
Wacha kuzunguka zunguka, usifikiri tunafanaya mitihani hapa. Hii ni 'social media", andika unachoongelea nini na niliyemtaja nani? Kuwa "specific".
Mimi nimemuongelea Bakhresa na "negotiation" za biashara. Sasa sikuelewi unachokipinga nini au unachokikubali nini?
Kijana, maana ya "agreement" ni makubaliano. Kwanza mnaongea (negotiate) mnakubaliana kimaongezi (negotiations)halafu ndiyo yanakuja maandishi ya makubaliano, sasa hapo ndipo unapoweza kumweka mwanasheria, mhandisi, business administrator" na vikolombwezo vingine vyote, lakini siyo kwenye "negotiations" za biashara yenyewe.
Fikiri; kitandikwa nini kama hakuna makubaliano ya maongezi (negotitions)? Hewa?
Hiyo video, wote hao ndiyo walikuwa "negotiators"? Fikiri.Yawezekana unasahau haraka.
View attachment 2717041
My question remains the same:
Vipi kuhusu 'brains' wa awamu ya sasa?
-Kaveli-
Mimi nimemuongelea Bakhresa na "negotiation" za biashara. Sasa sikuelewi unachokipinga nini au unachokikubali nini?Unamaanisha kwamba negotiator aweza kuwa mtu Y, halafu signatory akaja mtu X?
-Kaveli-
DouhAna div iv ya 29
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
Tunaomba kuona vyeti vyake
-Kaveli-