Job Ndugai ni Shujaa wa Historia-Anatuonesha Matobo na Udhaifu wa Samia Suluhu

Hoja yake nzuri baada ya mgongano wa kimaslahi na Samia?
Majani yanaweza yakawa yamestawi vizuri lakini kumbe chini mizizi imeoza
Baada ya muda mchache na hayo majani pia yatanyauka.
Ndugai anaangalia tumbo lake sio tumbo lako wewe.
Haumizwi chochote na hyo mikopo Bali kuna kuna kitu nje ya hyo mikopo hapo alikuwa anatafuta sababu.
Hauwezi kumwambia amir jeshi mkuu kuwa atauzwa hyo NI dharau
Wewe kama mwananchi wa kawaida inakupasa kufurahia mgongano wao wa kimaslahi ambao ndio pekee unaoweza kukufanya wewe mnyongwaji ukazijua mbivu na mbichi za pande zote nyongaji.
 
Ndugai angeanza na magufuli.
Na ndo maana hata pole pole tumemkataa.
Siku zote alikuwa wapi?
Je kweli shida ni mikopo ya Samia au Kuna lingine nje ya mikopo?

Samia hakuwepo enzi ya Magufuli au umejisahaulisha, aliposema walengaji wa serikali hawawezi kosea shabaha risasi zote zile kwa Lisu alilazimishwa? Mpango hakuwepo enzi za Mwamba? Shehe yule yule kanzu tu ndio mpya na bado watu wanaimani! Duh!
 
Kwani Samia amekwambia yeye ni MSAFI?
Samia mwenyewe Ana machafu yake tunamlia timing tu.
Acha tumalizane na Hawa dagaa kwanza.
Hata Samia nae atalipwa ni suala la muda tu.
Samia hakuwepo enzi ya Magufuli au umejisahaulisha, aliposema walengaji wa serikali hawawezi kosea shabaha risasi zote zile kwa Lisu alilazimishwa? Mpango hakuwepo enzi za Mwamba? Shehe yule yule kanzu tu ndio mpya na bado watu wanaimani! Duh!
 
Hivi unawezaje kuwaza 2025 kama vile una ahadi na Mungu?Ndiyo maana mm siwezi Siasa.2025 is still too far,for me,to start thinking about it.
 
Kama bunge lingekuwa na wabunge wa upinzani, Ndugai asingejiuzulu maana angejua anao wa kuunga mkono hoja yake ya mikopo.
Kikatiba Spika anaweza kuondolewa iwapo theluthi mbili ya wabunge itamkataa. Lakini kwa kuwa Bunge lina wabunge wa ccm ambao wanajua kuwa rais ambaye ndiye mwenyekiti wao ndiye roho yao ya kuwa pale bungeni, na hivyo lazima wakubaliane nae kwa kila jambo, hakuwa na option nyingine tofauti na kujiuzulu au asubiri kuondolewa na Bunge
Wapinzani si ndio hao kina Lema wanaoshangilia?

Ndugai hata asipoungwa mkono sawa tu. Lakini vipi hoja yake na kushambuliwa kwa bunge
 
Ishujaa huo Kwio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mshaambiwa hiyo pesa 1.3 T sehemu yake imeenda lipia Madeni ya nyuma yaliyoiva yenye riba.
 
Kilichomponza Mzee Job ni matendo yake ya nyuma na historian yake ya kuiza wengine,
 
Kifo cha ccm kitaletwa na katiba yao ya chama
 
Hoja yake ni nzuri kweli sema uwasilishaji wake ndio haukuwa sawa angeongelea mikopo kwa ujumla sio kumshambulia Samia na hizi 1.3bn. Na aliongea kwa kibri sana pia body language yake ilionyesha dharau ya wazi wazi.
Ndugai alichukua nafasi ya JPM
 
Ndugu zangu;

Kila nchi inakopa,na kila mkopo lazima utumike kikamilifu.Hata hivyo hii mikopo ambayo tunaaminishwa kwamba imetumika vizuri ni changa la macho.

IKO hivi.Idadi ya watu Tanzania ni Chini ya Milioni 60.Idadi ya shule ni chini ya elfu 20.Trilioni moja ni sawa na Bilioni 1000.Kamata Trilioni 1.3 ya covid imepelekwa kujenga madarasa,na TOZO ya uzalendo nayo imeenda kujenga madarasa basi inamaana yamejengwa madarasa ya thamani ya milioni 100 kwa kila moja ambayo ni sawa na madarasa 10,000.Kama kila darasa linakaa wanafunzi 40 inamaana wanafunzi laki nne na zaidi wamejengewa madarasa mapya.

Katika hali ya kawaida unaweza fikiri kwamba JOB NDUGAI aliteleza ulimi aliposema kwamba TULIPITISHA TOZO ili TUPUNGUZE KUKOPA lakini MBONA bado TUNAKOPA?Ni swali la msingi sana.Kama serikali imeweka TOZO zenye majina tofauti na kila siku wanabuni majina mapya ya TOZO na kodi .JE inaleta PICHA gani iwapo tunaendelea kupewa mikopo yenye majina TOFAUTI?

Je, serikali inafuja PESA zetu? TRA wanasema wamekusanya trilioni 11 kwenye miezi kama 6 iliyopita na wakati huo huo tumechukua mikopo ambayo ni sawa na kiasi hicho cha makusanyo ingawa miradi iliyofanywa bado haijafikia kiwango hicho cha cha makusanyo.JE nani muongo?

Binafsi naamini kabisa NDUGAI alisema ukweli wake na alichagua kuondoka kishujaa pamoja na kwamba alikuwa sehemu ya ufedhuli na unyonyaji.Huyu Ndugai alikaa India kwa Muda mrefu akitumia pesa za walipakodi kula RAHA ukiona mpaka amefikia hatua ya kufunguka UJUE kuna JAMBO

ANYHOW.Nfasi ya kazi ipo WAZI niwakumbushe tu wale vijana ambao wanao mpango wa kuwa SUPIKA kwamba nafasi iko wazi na mtu yeyote anaweza kugombea mradi tu kuwe na chama cha siasa kinachokudhamini..So muanze kazi mapema.
Naomba ufanye utafiti wa kutosha juu ya tozo na deni la 1.3 vinginevyo utajiburudisha kwa upumbavu wako,jiulize tozo inaleta kiasi gani?,je hizo tozo pekee zinatosha?pia kumbuka kuwa tozo imepita kamati ya bajeti,mkopo pia umepita kamati ya bajeti,unadhani hao wote ni wajinga?
Spika amelikoroga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣👇
 
Ndugu zangu;

Kila nchi inakopa,na kila mkopo lazima utumike kikamilifu.Hata hivyo hii mikopo ambayo tunaaminishwa kwamba imetumika vizuri ni changa la macho.

IKO hivi.Idadi ya watu Tanzania ni Chini ya Milioni 60.Idadi ya shule ni chini ya elfu 20.Trilioni moja ni sawa na Bilioni 1000.Kamata Trilioni 1.3 ya covid imepelekwa kujenga madarasa,na TOZO ya uzalendo nayo imeenda kujenga madarasa basi inamaana yamejengwa madarasa ya thamani ya milioni 100 kwa kila moja ambayo ni sawa na madarasa 10,000.Kama kila darasa linakaa wanafunzi 40 inamaana wanafunzi laki nne na zaidi wamejengewa madarasa mapya.

Katika hali ya kawaida unaweza fikiri kwamba JOB NDUGAI aliteleza ulimi aliposema kwamba TULIPITISHA TOZO ili TUPUNGUZE KUKOPA lakini MBONA bado TUNAKOPA?Ni swali la msingi sana.Kama serikali imeweka TOZO zenye majina tofauti na kila siku wanabuni majina mapya ya TOZO na kodi .JE inaleta PICHA gani iwapo tunaendelea kupewa mikopo yenye majina TOFAUTI?

Je, serikali inafuja PESA zetu? TRA wanasema wamekusanya trilioni 11 kwenye miezi kama 6 iliyopita na wakati huo huo tumechukua mikopo ambayo ni sawa na kiasi hicho cha makusanyo ingawa miradi iliyofanywa bado haijafikia kiwango hicho cha cha makusanyo.JE nani muongo?

Binafsi naamini kabisa NDUGAI alisema ukweli wake na alichagua kuondoka kishujaa pamoja na kwamba alikuwa sehemu ya ufedhuli na unyonyaji.Huyu Ndugai alikaa India kwa Muda mrefu akitumia pesa za walipakodi kula RAHA ukiona mpaka amefikia hatua ya kufunguka UJUE kuna JAMBO

ANYHOW.Nfasi ya kazi ipo WAZI niwakumbushe tu wale vijana ambao wanao mpango wa kuwa SUPIKA kwamba nafasi iko wazi na mtu yeyote anaweza kugombea mradi tu kuwe na chama cha siasa kinachokudhamini..So muanze kazi mapema.
Trilioni 11 kwa miezi sita. Hujaleta matumizi ya hizo pesa baada ya kuwa zimekusanywa. Kuendesha serikali ni kazi ngumu sio nyepesi kama kukosoa.

Mradi wa ujenzi wa reli ya SGR ni trilioni 14, huwezi kuzikusanya kwa kutegemea hizi tozo za maongezi ya simu, itatuchukua miongo na miongo kuweza kuumaliza huo mradi.
 
Ndugu zangu;

Kila nchi inakopa,na kila mkopo lazima utumike kikamilifu.Hata hivyo hii mikopo ambayo tunaaminishwa kwamba imetumika vizuri ni changa la macho.

IKO hivi.Idadi ya watu Tanzania ni Chini ya Milioni 60.Idadi ya shule ni chini ya elfu 20.Trilioni moja ni sawa na Bilioni 1000.Kamata Trilioni 1.3 ya covid imepelekwa kujenga madarasa,na TOZO ya uzalendo nayo imeenda kujenga madarasa basi inamaana yamejengwa madarasa ya thamani ya milioni 100 kwa kila moja ambayo ni sawa na madarasa 10,000.Kama kila darasa linakaa wanafunzi 40 inamaana wanafunzi laki nne na zaidi wamejengewa madarasa mapya.

Katika hali ya kawaida unaweza fikiri kwamba JOB NDUGAI aliteleza ulimi aliposema kwamba TULIPITISHA TOZO ili TUPUNGUZE KUKOPA lakini MBONA bado TUNAKOPA?Ni swali la msingi sana.Kama serikali imeweka TOZO zenye majina tofauti na kila siku wanabuni majina mapya ya TOZO na kodi .JE inaleta PICHA gani iwapo tunaendelea kupewa mikopo yenye majina TOFAUTI?

Je, serikali inafuja PESA zetu? TRA wanasema wamekusanya trilioni 11 kwenye miezi kama 6 iliyopita na wakati huo huo tumechukua mikopo ambayo ni sawa na kiasi hicho cha makusanyo ingawa miradi iliyofanywa bado haijafikia kiwango hicho cha cha makusanyo.JE nani muongo?

Binafsi naamini kabisa NDUGAI alisema ukweli wake na alichagua kuondoka kishujaa pamoja na kwamba alikuwa sehemu ya ufedhuli na unyonyaji.Huyu Ndugai alikaa India kwa Muda mrefu akitumia pesa za walipakodi kula RAHA ukiona mpaka amefikia hatua ya kufunguka UJUE kuna JAMBO

ANYHOW.Nfasi ya kazi ipo WAZI niwakumbushe tu wale vijana ambao wanao mpango wa kuwa SUPIKA kwamba nafasi iko wazi na mtu yeyote anaweza kugombea mradi tu kuwe na chama cha siasa kinachokudhamini..So muanze kazi mapema.
Huku ni kujifariji,shujaa huwa hajiudhuru wala kulazimishwa kuomba msamaha..

Akachukue uzoefu kwa Nape ,naye alikuizulu uwaziri.
 
Back
Top Bottom