Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
Wewe kama mwananchi wa kawaida inakupasa kufurahia mgongano wao wa kimaslahi ambao ndio pekee unaoweza kukufanya wewe mnyongwaji ukazijua mbivu na mbichi za pande zote nyongaji.Hoja yake nzuri baada ya mgongano wa kimaslahi na Samia?
Majani yanaweza yakawa yamestawi vizuri lakini kumbe chini mizizi imeoza
Baada ya muda mchache na hayo majani pia yatanyauka.
Ndugai anaangalia tumbo lake sio tumbo lako wewe.
Haumizwi chochote na hyo mikopo Bali kuna kuna kitu nje ya hyo mikopo hapo alikuwa anatafuta sababu.
Hauwezi kumwambia amir jeshi mkuu kuwa atauzwa hyo NI dharau
Wewe kama mwananchi wa kawaida inakupasa kufurahia mgongano wao wa kimaslahi ambao ndio pekee unaoweza kukufanya wewe mnyongwaji ukazijua mbivu na mbichi za pande zote nyongaji.
Samia hakuwepo enzi ya Magufuli au umejisahaulisha, aliposema walengaji wa serikali hawawezi kosea shabaha risasi zote zile kwa Lisu alilazimishwa? Mpango hakuwepo enzi za Mwamba? Shehe yule yule kanzu tu ndio mpya na bado watu wanaimani! Duh!Ndugai angeanza na magufuli.
Na ndo maana hata pole pole tumemkataa.
Siku zote alikuwa wapi?
Je kweli shida ni mikopo ya Samia au Kuna lingine nje ya mikopo?
Samia hakuwepo enzi ya Magufuli au umejisahaulisha, aliposema walengaji wa serikali hawawezi kosea shabaha risasi zote zile kwa Lisu alilazimishwa? Mpango hakuwepo enzi za Mwamba? Shehe yule yule kanzu tu ndio mpya na bado watu wanaimani! Duh!
Wapinzani si ndio hao kina Lema wanaoshangilia?Kama bunge lingekuwa na wabunge wa upinzani, Ndugai asingejiuzulu maana angejua anao wa kuunga mkono hoja yake ya mikopo.
Kikatiba Spika anaweza kuondolewa iwapo theluthi mbili ya wabunge itamkataa. Lakini kwa kuwa Bunge lina wabunge wa ccm ambao wanajua kuwa rais ambaye ndiye mwenyekiti wao ndiye roho yao ya kuwa pale bungeni, na hivyo lazima wakubaliane nae kwa kila jambo, hakuwa na option nyingine tofauti na kujiuzulu au asubiri kuondolewa na Bunge
Tulinunua ndege kwa pesa zetuMbona wakati Magufuli anakopa na kununua ndege hakusema..Ndugai ni mpuuzi na mpinga demeokrasia
we kweli kichaaAcha ujinga wa kupumbavu, unafikiri huyu mama yuko hivyo au ana akili ndogo kama wewe?
Hayo matatizo yake muda wake sio huu,kwa sasa tu deal na hoja zake.Ndugai hoja yake ni nzuri sn tatizo la Ndugai ni ukatili wake na maovu
Katiba ni mbovu. OverHayo matatizo yake muda wake sio huu,kwa sasa tu deal na hoja zake.
Ameshika dola siyo rahisiNgoja tumalizane na na masalia ya magufuli tutarudi kwa Samia.
Ndugai alichukua nafasi ya JPMHoja yake ni nzuri kweli sema uwasilishaji wake ndio haukuwa sawa angeongelea mikopo kwa ujumla sio kumshambulia Samia na hizi 1.3bn. Na aliongea kwa kibri sana pia body language yake ilionyesha dharau ya wazi wazi.
Naomba ufanye utafiti wa kutosha juu ya tozo na deni la 1.3 vinginevyo utajiburudisha kwa upumbavu wako,jiulize tozo inaleta kiasi gani?,je hizo tozo pekee zinatosha?pia kumbuka kuwa tozo imepita kamati ya bajeti,mkopo pia umepita kamati ya bajeti,unadhani hao wote ni wajinga?Ndugu zangu;
Kila nchi inakopa,na kila mkopo lazima utumike kikamilifu.Hata hivyo hii mikopo ambayo tunaaminishwa kwamba imetumika vizuri ni changa la macho.
IKO hivi.Idadi ya watu Tanzania ni Chini ya Milioni 60.Idadi ya shule ni chini ya elfu 20.Trilioni moja ni sawa na Bilioni 1000.Kamata Trilioni 1.3 ya covid imepelekwa kujenga madarasa,na TOZO ya uzalendo nayo imeenda kujenga madarasa basi inamaana yamejengwa madarasa ya thamani ya milioni 100 kwa kila moja ambayo ni sawa na madarasa 10,000.Kama kila darasa linakaa wanafunzi 40 inamaana wanafunzi laki nne na zaidi wamejengewa madarasa mapya.
Katika hali ya kawaida unaweza fikiri kwamba JOB NDUGAI aliteleza ulimi aliposema kwamba TULIPITISHA TOZO ili TUPUNGUZE KUKOPA lakini MBONA bado TUNAKOPA?Ni swali la msingi sana.Kama serikali imeweka TOZO zenye majina tofauti na kila siku wanabuni majina mapya ya TOZO na kodi .JE inaleta PICHA gani iwapo tunaendelea kupewa mikopo yenye majina TOFAUTI?
Je, serikali inafuja PESA zetu? TRA wanasema wamekusanya trilioni 11 kwenye miezi kama 6 iliyopita na wakati huo huo tumechukua mikopo ambayo ni sawa na kiasi hicho cha makusanyo ingawa miradi iliyofanywa bado haijafikia kiwango hicho cha cha makusanyo.JE nani muongo?
Binafsi naamini kabisa NDUGAI alisema ukweli wake na alichagua kuondoka kishujaa pamoja na kwamba alikuwa sehemu ya ufedhuli na unyonyaji.Huyu Ndugai alikaa India kwa Muda mrefu akitumia pesa za walipakodi kula RAHA ukiona mpaka amefikia hatua ya kufunguka UJUE kuna JAMBO
ANYHOW.Nfasi ya kazi ipo WAZI niwakumbushe tu wale vijana ambao wanao mpango wa kuwa SUPIKA kwamba nafasi iko wazi na mtu yeyote anaweza kugombea mradi tu kuwe na chama cha siasa kinachokudhamini..So muanze kazi mapema.
Trilioni 11 kwa miezi sita. Hujaleta matumizi ya hizo pesa baada ya kuwa zimekusanywa. Kuendesha serikali ni kazi ngumu sio nyepesi kama kukosoa.Ndugu zangu;

Huku ni kujifariji,shujaa huwa hajiudhuru wala kulazimishwa kuomba msamaha..Ndugu zangu;