Job Ngugai, Spika aliyejiuzulu atalipwa 80% ya Mshahara wa Spika maisha yake yote

Wakiamua kumsagia kunguni ni chapu tu muswada unapelekwa bungeni sheria inabadilishwa huyoo segerea sema ccm wanapendana hata wawe vipi hawatafkia huko
Sheria ikibadirishwa inaanzia kung'ata kuanzia hapo ilipobadilishiwa, hairudi nyuma. Hapo nyuma panabaki na sheria ya wakati ule.
 
Mzigo kwa taifa ni mkubwa mno.
1. Mwinyi
2. Kikwete
3. Msuya
4. Lowasa
5. Pinda
6. Malecela
7. Makinda
8. Warioba
9. Ndugai
10. Sheni
11. Bilali
12. Majaji
13. Mabrigedia
n.k
Mungu akiamua kumruhusu israel afanye wajibu wake mbona mzigo kwa serikali utapungua fasta tu.
 
Alipwe tu maana ni haki yake...hakuna tatizo.
 
Walijiandalia mafao na marupurupu mazuri sana. Wala, hana taabu kwenye maisha tena
 
Mpunga ataendelea kula lakini uongo atakuwa anajitoa kwa kujifichaficha aibu tupu
 
Hayo mafao ya Ubunge wa Kongwa ni mpaka 2025 na ni kheri aendelee yeye maana hata akijiuzulu ubunge, CCM itatumia Tume ya uchaguzi kuweka pandikizi lao lingine na uchaguzi taulipia kwa kodi zetu.
Usiogope kwani huna imani na wasimamizi wa uchaguzi?
 
Bado sijaelewa wakuu, yaan atalipwa mshara 80% maisha yake yote adi siku atakapokufa au adi muda wa kustaafu rasmi ukifika
 
that is why we are poor, tunalipa kodi kuwanenepesha vibaka, muangalie ndugai amevimba kama anaelekea kupasuka
 
Bado sijaelewa wakuu, yaan atalipwa mshara 80% maisha yake yote adi siku atakapokufa au adi muda wa kustaafu rasmi ukifika
Hadi siku atakayo n'gata shuka mkuu.
 
Sasa inabidi Nikakue supika
 
Bado sijaelewa wakuu, yaan atalipwa mshara 80% maisha yake yote adi siku atakapokufa au adi muda wa kustaafu rasmi ukifika
Hiyo ni ndani ya sheria sio upendeleo. Hadi maisha yake yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…