Job: Ni Yanga pekee inayoweza kumkanda Mamelodi Kwa Tanzania hapa

Football is not logic or math. On paper Mamelodi wanaonekana wako vizuri lakini kila timu ina udhaifu wake. Unavyopambana na adui yako unashambulia udhaifu wake.
Saarbrucken timu ya daraua la tatu Ujerumani imezifunga Bayern Munich, Eintracht Frankfurt na Borrussia Monchenglaedback zote za daraja la keanza kwenye kombe la ligi na wameingia nusu fainali. So anything is possible if you are dedicated and disciplined.
Tofauti na watu wengi wanavyofikiria hii siyo mara ya kwanza timu hizi kukutana. Mara ya mwisho kukutana ilkuwa 2001.
Mechi ya kwanza 13/05/2001 Mamelodi 3-2 Young Africans.
Mechi ya marudiano 26/05/2001 nakumbuka ilichezwa Kirumba Yanga 3-3 Mamelodi.
Kitu kinachosikitisha sana ni Watanzania kujishusha sana au kuleta threads za kipuuzi bila hata kufanya research kidogo.
 
 
Al ahly walikula chuma 5 kwa kujifanya wababe wa midomo kama nyie, Badala mkae kimya mnaanza kupanuapanua midomo, wakiwasikia si mtaua nyie, shauli yenu vyura
Ni kawaida ๐Ÿธ๐Ÿธ kukoroma, waache tu wakorome.

Mamelodi wapo kimya tangu draw ifanyike waliandika kwa channel yao huko whatsapp kwamba robo fainali watakipiga dhidi ya Yanga.

Hawajaposti tambo zozote kwa kuwa wao sio ๐Ÿธ๐Ÿธ
 
Sahihi mkuu
 
Al ahly walikula chuma 5 kwa kujifanya wababe wa midomo kama nyie, Badala mkae kimya mnaanza kupanuapanua midomo, wakiwasikia si mtaua nyie, shauli yenu vyura

Mamelodi sifa yake ni hiyo tu kumfunga al ahly 5. Kumfunga al ahly goli 5 halafu na wewe unatolewa robo fainali ni ujinga.

Nje ya sifa ya kumfunga al ahly 5 hana madhara kwenye ligi ya mabingwa. Ndio maana CV yake mamelodi haitishi kama wengine. Juzi tu mchovu mazembe kamtoa jasho kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ